CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Tusisahau na ile 1.5T aliyoitafuna mwendazake...

Naona mataga wana mbinu nyingi sana ya kututoa kwenye mstari wa kumjadili jambazi wa Taifa
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Kwanini Magu alikuwa mbaguzi sana?
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?

Hilo mtajua nyie, tunataka kujua dhalimu alikopa 20t+ na kuzipeleka wapi maana alikuwa anajifanya msafi, na kuishia kuua na kuteka watu wote waliokuwa wanaweka uchafu wake wazi.
 
Una hakuka alikopa kiasi hicho? Kabla hujakurupuka be analytical.

Wewe unafikiri mikopo iliyokopwa enxi za Mwinyi, Mkapa na Kikwete iliishalipwa ikaisha? Hujui riba za hiyo mikopo ndio zimechangia kuongeza deni kwa kasi!
 
Hizo riba za mikopo za marais waliopita ndio ilikuwa sana wakati wa Magufuli tu? Tafuta utetezi mwingine, vinginevyo tulieni ifanyike special auditing ya pesa alizokopa mwendakuzimu tujue zilienda wapi.
 
Weka data unaogopa nini mikopo iliyokopwa si inajulikana . Pi na useme ilifanta nini kwa marais wote
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Huwezi kufananisha ziara ya akina Nape na tzs trillion 9 mlizoiba na kichaa wenu.

Unahoji sasa baada ya Nape kuwaumbua! Hopeless kabisa!
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Tunapendekeza tuanzie kwako, halafu tumalizie kwao, tujue nani msafi🏃.
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Mnatia huruma watoto yatima na wajane, na ile repoti ya mali za Chama ya Dr Bashiru mbona kichaa wenu mwendakuzimu aliikalia tu? Kwa nini hakuitowa hadharani?
 
Back
Top Bottom