CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

Una hakuka alikopa kiasi hicho? Kabla hujakurupuka be analytical.

Wewe unafikiri mikopo iliyokopwa enxi za Mwinyi, Mkapa na Kikwete iliishalipwa ikaisha? Hujui riba za hiyo mikopo ndio zimechangia kuongeza deni kwa kasi!
Kawadanganye MATAGA wenzako huko lumumba
 
Hizo riba za mikopo za marais waliopita ndio ilikuwa sana wakati wa Magufuli tu? Tafuta utetezi mwingine, vinginevyo tulieni ifanyike special auditing ya pesa alizokopa mwendakuzimu tujue zilienda wapi.
Wacha wavuane nguo hao majizi
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Malizieni kutekenyana, tunasubiri muanze kucheka.... mtafukunyua siri zote majinga nyie!!
 
Kwa nini serikali itoe mabilioni ya pesa kuwapa fisiemu kwa mgongo unaoitwa ruzuku. Huu ni wizi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi, kwani hao fisiemu hawawezi hata wakauza vitumbua wakagharamia shughuli zao za chama, katiba mpya ni sasa......
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?
Nape kawashika ka lio mnawayawaya mitandaoni...stupid nonsense hatuongelei mambo ya chama tunajadili masuala ya kitaifa jibuni hoja shwaini. Mambo yalichama lenu kajadilini Lumumba mmeibiana toka enzi Leo mnahoji ziara??

Deni la taifa kuna humwe mmoja na mpwa wake walilipaisha mmmno kwa kununua madege nakujengajenga hovyo huku wakijidai nipesa za ndani eti sisi nimatajiri? Sasa je? Walikopaga shilingi ngapi? alifanyia nini? MTU asijione mjanja kujinufaisha alafu sisi tujelipishwa madeni!!!
Nimuhimu tujue tusitetee upuuzi,taifa la watu conscious linafaa kuhoji haya... mazumbukuku viherehere wazee wa kujipendekeza-pendekeza tuacheni kidogo.
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.
Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika ?
Can it be accounted for?

213725595_364231061748826_2989616466576841510_n_remastered.jpg
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.

Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika?

Can it be accounted for?
Kumekucha, kwa sababu amehoji deni la taifa na wewe umemgeuzia kibao, yaleyale ya Mbowe.
 
Ulikuwa wapi mpaka kuyasema hayo au ulisubiri mpaka Nape aombe ukaguzi wa fedha za mikopo ya JPM ndipo ulete hiyo hoja! Tunataka ukaguzi kuanzia fedha za mikopo mpaka fedha uchaguzi mkuu wa 2020!
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.

Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika?

Can it be accounted for?
Naona mnararuana kimya kimya tu dadeeeki safi sana, Nape anauliza swali la msingi sana
 
Mnatia huruma watoto yatima na wajane, na ile repoti ya mali za Chama ya Dr Bashiru mbona kichaa wenu mwendakuzimu aliikalia tu? Kwa nini hakuitowa hadharani?
Hao wote ni kundi la wezi na majambazi,wanagombea tu mianya ya wizi.
 
Back
Top Bottom