CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

Hili ndilo tatizo la kuishi kwenye nyumba ya vioo huku ukijifanya baunsa wa kurushia mawe watu wenye hasira kali waliokaribu na sehemu ya kupigia kokoto!
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.

Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika?

Can it be accounted for?
Kaka kuna nini huko ndani kwenyu? Mbona mnakuwa wapinzani ndani yenyu wenyewe? Ombwe la upinzani linaonekana wazi sasa.. Kweli mwendazake alituweza
 
Una hakuka alikopa kiasi hicho? Kabla hujakurupuka be analytical.

Wewe unafikiri mikopo iliyokopwa enxi za Mwinyi, Mkapa na Kikwete iliishalipwa ikaisha? Hujui riba za hiyo mikopo ndio zimechangia kuongeza deni kwa kasi!
Mawakili wa serikali ndo maana mnafeli kila siku. Hapa umetetea au umeongeza tatizo?
 
Halafu mleta mada unaweza kukuta Ni kiongozi kabisa w serikali na akija huku nyamihuu anataka tumsikilize na anatupiga mikwara. Yaani Hilo la nape mmesubiria awalipue ndio mjifanye hesabu zichunguzwe je Kama asingewalipilua maana yake mngekaa kimya? Ziara zimefanyika 2015 ....Leo ndio unakumbuka looooh
 
Hakuna mtu msafi ndani ya ccm. Chunguzaneni muone, asilimia kubwa ya Wana ccm hawana uchungu na hii nchi. Wapo kwa ajili ya kujitajirisha wao wenyewe na Familia zao
 
H
Tusisahau na ile 1.5T aliyoitafuna mwendazake...

Naona mataga wana mbinu nyingi sana ya kututoa kwenye mstari wa kumjadili jambazi wa Taifa
Eli ya jambazi kuliko gaidi maana gaidi linapoteza maisha ya hata wasiokuwamo.
 
Shida haipo kwenye kukopa je hiyo mikopo imefanyiwa nn
Pic%20Layer_202111923101073.jpg
 
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu.

Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika?

Can it be accounted for?
Kwa kuwa awamu ya sita ndio imebariki wanaCCM wenye mitazamo tofauti kufitiana na kushughulikiana kisa ama walitengwa kwenye teuzi enzi za hayati, haitaishia hapo ni lazima watatoana damu na kufungana kudhihirisha namna walivyokuwa wanachukiana.

Wapinzani mnashauriwa mpeni uongozi John Heche anaweza kuiondoa CCM madarakani maana hoja zake na matendo yake yanawakilisha kero halisi za wananchi.

Viongozi wote walioachwa na hayati JPM watashughulikiwa kwa visasi wale wanaomuunga mkono Samia wataanzisha harakati za kuwashitaki viongozi walikuwa chini ya JPM na kwa awamu ya sita ama hawakuteuliwa au walitenguliwa kwa sababu zisizojulikana.

Waliochwa na hayati JPM nao watajiunda kikamilifu kukabiliana na wimbi hilo na hali itakuwa mbaya sana mpaka itafikiwa hatua chama 'KITAPASUKA' na hatakuwepo mtu wa aina yoyote wa kukirejesha kisha viongozi wakuu waliounga mkono au kukaa kimya wakati mtanziko huo ukifanyika watageukiwa na KUSULUBIWA kwa kunyang'anywa kinga ya kushitakiwa.
 
Back
Top Bottom