Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kweli?Bado wanaweza pia kuifunga app ya VPN mkuu
Wewe mwenyewe unadili na petty issues kama hiziTundu Lissu acha kujichanganya. Mapenzi ya jinsia moja ni faragha iliyokinyume na sheria. Lazima iingiliwe na vyombo vya dola. Ulijichanganya mwenyewe
Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba. Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa. Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe. Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa...www.jamiiforums.com
Pumbavu shenzi huna akili. Pimbi mburula.Wewe mwenyewe unadili na petty issues kama hizi
Hawana uwezoBado wanaweza pia kuifunga app ya VPN mkuu
Ndiyo wanaweza!Bado wanaweza pia kuifunga app ya VPN mkuu
Pumbavu shenzi huna akili. Pimbi mburula.
Hoja ya mashoga inaingia vipi hapa? Ushoga ni illegal hapa Tz. Jitambue.Usitukane hovyo kama mlevi wa Kangala
Thubutu, hata kipind cha wasiopenda technology ya utandawaz walijaribu kufungia Twitter lkn wasela tulikua tunainjoi through VPN πππ. Huez pambana na technology never!!Bado wanaweza pia kuifunga app ya VPN mkuu
SIO Rahisi kudhibiti UFISADI wakati Wao ndio Mafisadi tuliaminishwa kuwa ni Mtetezi wa Wanyonge akatuambia Tanzania imechezewa sana kumbe na YEYE ni Mchezaji Pesa za PLEA BARGAINING kazipigaMnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje?
Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess?
Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi.
[emoji116]
View attachment 2512762
Hawana uwezo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£SIO Rahisi kudhibiti UFISADI wakati Wao ndio Mafisadi tuliaminishwa kuwa ni Mtetezi wa Wanyonge akatuambia Tanzania imechezewa sana kumbe na YEYE ni Mchezaji Pesa za PLEA BARGAINING kazipiga
Weww bwege unajua nini?Uwezo huo upo. Tofauti ni hawajajaribu na kuamu. But ni jambo linawezekana kabisa