Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!

CCM ya wapi hiyo? Au Chadema mmeshatunga habari yenu alafu mnatuwekea mdomoni maneno CCM
 
Biteko anaandaliwa kuwa full PM very soon. Uwezekano wa Rwangwa kutomaliza upm ni mkubwa. Si mtu wa mama. Syndicate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…