Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Tetesi yako naweza kuifananisha na hii scenario: Rais Samia(CCM)na Lissu(CHADEMA) wanashindana kinyang'anyiro Cha Urais 2025 halafu mtu aseme Mbowe(CHADEMA) atashinda wakati mshindi ni Rais Samia au Lissu.Maisha ya binadamu yanaendeshwa kwa matukio.
Kabla ya "smartphones" kulikuwa hakuna matumizi makubwa ya "Data". Kwa ivo Sasa zipo Kwa wingi ni muafaka kuwepo wachambuzi wa matumizi ya Data na bei za vifurshi.
DPM Biteko kwa sasa anatazamiwa kwa nafasi kubwa zaidi ya hapo, anatazamiwa kwa u-PM, VP au Urais sasa kusema Biteko atakuwa mgombea mwenza wa Rais Samia 2025 ni jambo linaloeweka na linatazamiwa kisiasa.
Naamini umeelewa lakini kama hujaelewa nitatoa ufafanuzi Zaidi kama utahitaji