Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Wachambuzi uchwara ni hatari kweli kweli, kabla ya Biteko kuwa DPM alikuwa hazungumziwi kwa lolote ila kila siku anatajwa utafikiri ni mtu mpya
Maisha ya binadamu yanaendeshwa kwa matukio.

Kabla ya "smartphones" kulikuwa hakuna matumizi makubwa ya "Data". Kwa ivo Sasa zipo Kwa wingi ni muafaka kuwepo wachambuzi wa matumizi ya Data na bei za vifurshi.
 
du unawaza mapinduzi tena,God Forbid
Bila mapinduzi ya kijeshi ccm haitatoka madarakani.

Makaratasi ya kupigia kura na makaratasi ya katiba mpya hayawezi kuwatoa ccm madarakani. Inatakiwa kiumane kwanza , halafu watu wenye bunduki nzitonzito waruke live TBC1 na tv zote pia waruke live TBC taifa na Redio zote na mitandao yote. Watangaze wameipindua serikali. Hapo ndipo tutaanza upya. Na ndio utakuwa mwisho wa CCM. Hayo makaratasi hayatasaidia kitu. 😂😂😂 huo ndio ukweli mchungu.
 
Sukuma gang wameshaiteka nchi, ona kilichomkumba membe
 
ni sawa lakini wako kwenye panic mode kwa sasa, angalia mawaziri wamekuja na strategies zile zile za 2015-2020
Kutembelea ofisi za umma Kwa kutumia lugha eti kushtukiza 😀😀😀 wakati na waandishi wapo yaani Slaa ........ukishtukiza inabidi waandishi wafike ulishaondoka.....ni kushtukiza gani wakati media zinastream live
 
Back
Top Bottom