Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!
Wa - Tanganyika tutakuwa hatuna akili kabisa kama bado tutaendelea kuruhusu raia wa kigeni toka nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar kutawala nchini kwetu..!!

Huu ukoloni hapana, haukubaliki asilani..!!
 
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!
nadhani hata wakimweka mwijaku kua mgombea mwenza watapeta tu kibaraka hakuna kitu atapata
 
Biteka ni mtu mdogo sana Kanda ya ziwa hatambuliki zaidi ya Bukombe ambako nako wanamwota Mtusi
Biteka ni mbegu ya Mwendazake, hivyo ccm wanachofanya wanawaambia wananchi tumewaletea kijana mwaminifu wa Mwendazake.
 
Biteka ni mbegu ya Mwendazake, hivyo ccm wanachofanya wanawaambia wananchi tumewaletea kijana mwaminifu wa Mwendazake.
Hiyo ndiyo point. Halafu watu wakumbuke kuwa Samia anataka uchaguzi uwe huru Kwa kiasi fulani hivyo anahitaji mtu atakayevuta hisia za watu na kuhalalisha "ushindi" hata kama ni wa Magumashi.
 
Ni kwamba kwamba fursa ya kumshinda adui mara nyingi utolewa na adui mwenyewe? Bila kujua?

Kwamba Biteko anaenda kutumika bila kujua? Ama anajua? Kama anajua kwanini kakubali kutumika?

Hao wananchi wa kanda ya Ziwa ni limbukeni kiasi gani mpaka wachotwe kihivyo?

Kama ni kweli huyo alieipanga haoni kwamba iko wazi sana?

Na Kama ni kweli na Rais akaikubali hiyo mipango, amewaza nini kuikubali? Anamuamini aliemshauri hivyo? Anamuamini kiasi gani Biteko?

Lakini pia huyo Biteko huko kanda ya Ziwa ana ushawishi kiasi gani kiasi cha kulazimishiwa ‘siti’?

Huyu Biteko nae ni wa aina gani? Sio nyoka wa vichwa viwili?

What are the chances of History repeating itself?

Balozi Humphrey Polepole anaendeleaje sijui.
 
Hizo Ni mbinu za kuteka kanda ya ziwa yenye wapiga kura wengi.
Serikali ifanye marekebisho ya Katiba ya JMT au ilete katiba mpya, kwanza.
-Huu utaratibu wa kupanga safu ya uongozi siyo sahihi.Wananchi wote bila kujali vyama wachague viongozi wao ikiwa pamoja na magavana wa mikoa yao na wabunge wasiwe mawaziri.
-Rais apunguziwe Mamlaka ya kuteua Watendaji wa taasisi mbalimbali,sasa hata wakurugenzi ambao ni professional wanachaguliwa kisiasa
 
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!
Kwani Kuna tatizo? Acha kumgombanisha Biteko na Mpango
 
Hizo Ni mbinu za kuteka kanda ya ziwa yenye wapiga kura wengi.
Serikali ifanye marekebisho ya Katiba ya JMT au ilete katiba mpya, kwanza.
-Huu utaratibu wa kupanga safu ya uongozi siyo sahihi.Wananchi wote bila kujali vyama wachague viongozi wao ikiwa pamoja na magavana wa mikoa yao na wabunge wasiwe mawaziri.
-Rais apunguziwe Mamlaka ya kuteua Watendaji wa taasisi mbalimbali,sasa hata wakurugenzi ambao ni professional wanachaguliwa kisiasa
Katiba Mpya ndio itafanya kusiwe na mbinu ya kuteka Kanda ya Ziwa? Ujinga
 
Biteko anaandaliwa kuwa full PM very soon. Uwezekano wa Rwangwa kutomaliza upm ni mkubwa. Si mtu wa mama. Syndicate
Biteko ni geresha tu ili watu wamalizie hasira huko, mhusika wa uPM ni mkwe ndo maana anapitia wizara nyeti husika ili akiibuka tu inakua too late kumrushia madongo.
 
Wanasiasa wanacheza na akili yako, walipompa cheo fake cha waziri mkuu photocopy ni kutuliza upepo as ndg, jamaa na marafiki wa kisukuma kuona sasa kweli tusimpe kura huyu ndugu yetu na sisi tutakosa daily bread of life!.

So matokeo yake mnawapa kura CCM na wanatoboa na wakishatoboa wanaondoa hicho cheo fake, mnarudi kulia na kujuta tena!.

:- Naendelea kujifunza.
 
Hivi Biteko ana tofauti gani na Pinda, Ndumbaro, Bashungwa na wengine wengi huko ccm, je nafasi kama ya makamu wa Rais inahitaji mtu wa aina ya hawa? siku zote watu wenye malengo kidogo lakini wamefanikiwa kupita malengo yao..hawana impact kwenye jambo lolote la jamii..UONGOZI ni lazima mtu aupiganie kulingana na sifa alizo nazo na si kubebwa bebwa ka mzigo!
 
Back
Top Bottom