imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mtanzania mwenye asili ya Kitutsi kama Komredi UlimwengušKumbe ni Mtutsi!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanzania mwenye asili ya Kitutsi kama Komredi UlimwengušKumbe ni Mtutsi!!!??
Ili iweje? Mpango ana mpango wa kustaafu? Kumbuka Katiba haimruhusu Mpango kwenda kugombea Urais Zanzibar hata kama angetamani kuwa na mpango huo.Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Wengi hatukujua katiba, kwamba Rais akiaga dunia akiwa ofisini makamu wake urithi kiti cha Urais. Kule Sudan kusini ilileta shida makamu na Rais wake wakaanza kuwindana. Tuna haja ya katiba mpya.Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Ashushe yeye ndio anayeyachimba huyo OPEC jaman??Ni jambo jema
Lakini ashushe kwanza bei ya Mafuta
Chama chakavuInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Watutsi ni akili kubwa angalau watabadilisha maisha ya wa tzKwahiyo inakuwa toa Mhutu weka Mtutsi?
Hata akimuweka tulia bado atatagishwa,meko alitaga mpka akaamua ajitangaze mshindi...akakosea hesabu ya kuiba mpka apate vitimaalum 19 vya kina halima,hili gemu gumu ccm wanajua wenye nchi wamewachoka mpka 2025 maisha yatakua magumu sanaInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Yalipopanda bei ndiyo siku Hiyo yalikuwa yameshushwa bandarini??Ashushe yeye ndio anayeyachimba huyo OPEC jaman??
Sasa mbona anamchelewesha!Biteko anaandaliwa kuwa full PM very soon. Uwezekano wa Rwangwa kutomaliza upm ni mkubwa. Si mtu wa mama. Syndicate
Marais wote walioshinda kihalali.Mfano nani mliwahi kumpigia akashinda kwa wingi wa kura zenu??
VP asiye na nguvu, Bali cheo cha kuvutia "kula " toka sehemu IleInasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
umenisemea ndg. Doto mgomea uraisi. Mama mgombea mwenza.Kwanini Dotto asisimamishwe na Chama kama mgombea Urais?
Kwani yeye ndio waziri wa fedha mpaka aendelee na huo wadhifa!??Yeye aendelee na uwaziri wa fedha tu
Sisi tunamleta Mwabukusi ,Lissu na MdudeKwa msaada wa vyombo vya dola ( polisi, jeshi, usalama) ccm washashinda uchaguzi wa 2025 kwa wizi wa kura wa kishindo. Vinginevyo labda kifo, mvurugano chamani ili bitozo asigombee au mapinduzi yatokee hapa katikati
Biteka ni mtu mdogo sana Kanda ya ziwa hatambuliki zaidi ya Bukombe ambako nako wanamwota MtusiKatika harakati za kutafuta kura za kanda ya ziwa sio.