Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

Lakini shida ni. kugombea au shida ni Sheria zisizo weka uwanja huru na sawa?
 
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!
Ili iweje? Mpango ana mpango wa kustaafu? Kumbuka Katiba haimruhusu Mpango kwenda kugombea Urais Zanzibar hata kama angetamani kuwa na mpango huo.
 
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!
Wengi hatukujua katiba, kwamba Rais akiaga dunia akiwa ofisini makamu wake urithi kiti cha Urais. Kule Sudan kusini ilileta shida makamu na Rais wake wakaanza kuwindana. Tuna haja ya katiba mpya.
 
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.

CCM bwana!!!
Hata akimuweka tulia bado atatagishwa,meko alitaga mpka akaamua ajitangaze mshindi...akakosea hesabu ya kuiba mpka apate vitimaalum 19 vya kina halima,hili gemu gumu ccm wanajua wenye nchi wamewachoka mpka 2025 maisha yatakua magumu sana
 
Biteko anaandaliwa kuwa full PM very soon. Uwezekano wa Rwangwa kutomaliza upm ni mkubwa. Si mtu wa mama. Syndicate
Sasa mbona anamchelewesha!
Haoni gharama za kuhudumia mawaziri wakuu wawili?
 
Kwa msaada wa vyombo vya dola ( polisi, jeshi, usalama) ccm washashinda uchaguzi wa 2025 kwa wizi wa kura wa kishindo. Vinginevyo labda kifo, mvurugano chamani ili bitozo asigombee au mapinduzi yatokee hapa katikati
Sisi tunamleta Mwabukusi ,Lissu na Mdude
 
Back
Top Bottom