Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Ha haa. Chadema wamepewa kandarasi ya ku uninstall software ya bwana yule na ku install software ya bibi yule'.Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
ccm wanatumia pesa zako?Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Unafikri maana ya kulamba asali ni nini? Unafikri kwanini Lissu alirudi Ubeleji?Lete ushahidi
Ukute unaamini hivi kabisa ndani ya moyo wako.
Ukute na wewe unajiona mchambuzi wa masuala ya kisiasa hapo kijijini kwenu.
Ukute kuna familia ilikupatia mtoto wao umuite mke.
Pole kwako, pole kwa hiyo familia, na pole sana kwa Taifa
ccm wanatumia pesa zako?
Lete ushahidi
Muuza Kangara,sisi hatutumiki,kwani tunajitambua na tunajua watanzania wanahitaji nini/tunahitaji nini 🤔Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Achakuharibu basiiii.Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Aulizie kesi kwani hajui?Umaenda polisi kuangalia gari na kulidai badala ya kuendelea na kesi
Kuna mambo hayako sawa kwenye nchi zetu za giza
Uchunguzi unataka hela nyingi hata private wapo ila watu wanaona kupiga kelele majukwani ndio kesi zinaisha