SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Akili zilizochanganyika na haja kubwa utazijia tuTozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.