CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Akili zilizochanganyika na haja kubwa utazijia tu
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Wazee wa legacy mnateseka kinyama 🤣🤣🤣
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.

CCM wangekuwa na hela za kutoa kwa wapinzani majengo na viwanja vya mpira walovyorithi kwenye mfumo wa vyama vingi vingechakaa kiwango hicho?
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Mbona hueleweki kijana. Demokrasia na ufisadi mbona havina uhusiano
 
Back
Top Bottom