CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
 
Mahalim Kazila sana pesa Km hizo.... alitaka kulipua bomu uchaguzi ule kabla hajaondoka.
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.

Hii nchi ni ya mabeberu au ya wananchi watanzania?
 
Ukute unaamini hivi kabisa ndani ya moyo wako.

Ukute na wewe unajiona mchambuzi wa masuala ya kisiasa hapo kijijini kwenu.

Ukute kuna familia ilikupatia mtoto wao umuite mke.

Pole kwako, pole kwa hiyo familia, na pole sana kwa Taifa
 
Umaenda polisi kuangalia gari na kulidai badala ya kuendelea na kesi

Kuna mambo hayako sawa kwenye nchi zetu za giza

Uchunguzi unataka hela nyingi hata private wapo ila watu wanaona kupiga kelele majukwani ndio kesi zinaisha
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Ha haa. Chadema wamepewa kandarasi ya ku uninstall software ya bwana yule na ku install software ya bibi yule'.
Siasa ni biashara, kilimo ni biashara na biashara ni biashara...
Tukutane '25!
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
ccm wanatumia pesa zako?
 
Ukute unaamini hivi kabisa ndani ya moyo wako.

Ukute na wewe unajiona mchambuzi wa masuala ya kisiasa hapo kijijini kwenu.

Ukute kuna familia ilikupatia mtoto wao umuite mke.

Pole kwako, pole kwa hiyo familia, na pole sana kwa Taifa
image_search_1677311569826.jpg
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Muuza Kangara,sisi hatutumiki,kwani tunajitambua na tunajua watanzania wanahitaji nini/tunahitaji nini 🤔
 
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwarudhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki

Huu ni uzandiki wa kisiasa.

Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Achakuharibu basiiii.
 
Umaenda polisi kuangalia gari na kulidai badala ya kuendelea na kesi

Kuna mambo hayako sawa kwenye nchi zetu za giza

Uchunguzi unataka hela nyingi hata private wapo ila watu wanaona kupiga kelele majukwani ndio kesi zinaisha
Aulizie kesi kwani hajui?
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Na zile milioni 10,zilizotolewagwa na yule shetani kuhonga kila mbunge wa chama chake zilitoka katika fungu gani la serikali????
 
Back
Top Bottom