SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Akili zilizochanganyika na haja kubwa utazijia tuTozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Wazee wa legacy mnateseka kinyama 🤣🤣🤣Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Kiaje?Wazee wa legacy mnateseka kinyama 🤣🤣🤣
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Acha ujinga we pimbi wa CCMCCM wangekuwa na hela za kutoa kwa wapinzani majengo na viwanja vya mpira walovyorithi kwenye mfumo wa vyama vingi vingechakaa kiwango hicho?
Mbona hueleweki kijana. Demokrasia na ufisadi mbona havina uhusianoTozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Utajua ujui!!Kiaje?