CCM inatumia ujinga wa watu hasa vijijini kujipatia kura

Sio tu wa vijijini!
Mimi juzi hii baada ya uteuzi na mabadiliko yaliyofanywa na Rais Chongolo akiingia tena ulingoni.
Nikiwa Mkoani nikaongea na jamaa yangu nikimtania vipi sijakusijia kwenye teuzi za juzi!
Ikiwa ni siku ya Tatu yake ananiambia mbona Sina Habari yoyote ile!Ile!! Ukweli tu hana simu ya kuweza kuingia mtandaoni hivyo wenginwa waTanzania hawapati Habari motomoto na hasa kauli za wapigania haki na Katiba mpya na wengine wanaijua CCM zaidi hasa wanapohitaji huduma za Serikali mtaa na kuliwa kichwa bila kujua uhuru na haki zao.

Balozi mwenyewe wa nyumba kumi na kakibanda njaa kaweka bendera hapo kwa mlango suruali chanika hapo nyuma bado hajitambui kavaa kofia ya Kijani imezeeka mbaya.
Ni majanga.
 
Kwa kuwa nyie ni welevu, kwa nini na nyie msiyumie huo ujinga wao kujipatia kura? Au nyie mnajifanya mnawahurumia sana kiasi kwamba hamuwezi kuutumia huo ujinga wao?
Kama hamuwezi kutumia welevu wenu kujipatia kura kutoka kwa wajinga, basi na nyie ni wajinga kama wao.
 
Cha ajabu wao viongozi wa ccm hakuna anayesomesha mtoto wake wala kuonja hiyo elimu wanayowapa watoto wa wapiga kura.

ccm ni [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…