CCM inaungwa mkono na vyama vya kikomunisti tu?

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
CCM1-1400x932.jpg

Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti.

Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party (KWP) na Communist Party of Cuba (PCC).

Kwa upande wa Afrika vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Prosperity Party (Ethiopia), Rwanda Patriotic Front (Rwanda), CNDD- FDD (Burundi), MPLA (Angola), Frelimo (Msumbiji), ZANU- PF- (Zimbabwe), SWAPO (Namibia), African National Congress (Afrika Kusini), NRM (Uganda),
 
View attachment 3350844

Ndio vyama mrengo wao. Angalia aina ya mifumo ilivyo, na record ya hizo nchi ambazo vyama vya kikomunist bado vinapngoza

Kuna similar patterns ya matukio

Japokuwa ukomunist umeanza kupotea
 
wote ni madictator in nature.
 
S
View attachment 3350844
Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti.

Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party (KWP) na Communist Party of Cuba (PCC).

Kwa upande wa Afrika vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Prosperity Party (Ethiopia), Rwanda Patriotic Front (Rwanda), CNDD- FDD (Burundi), MPLA (Angola), Frelimo (Msumbiji), ZANU- PF- (Zimbabwe), SWAPO (Namibia), African National Congress (Afrika Kusini), NRM (Uganda),
Safi ni mahusiano mazuri
 
Hao wote ni watu hatari sana hiki kibibi kina muda mchache saana
 
Baadhi ya vyama vilivyojumuika na CCM na kutoa salamu zao leo;

1. CPRF - Russia
2. WPK - Korea Kaskazini
3. CPC - China
4. PCC - Cuba
5. ANC - Afrika Kusini
6. RPF - Rwanda
7. SWAPO - Namibia
8. ZANUPF - Zimbabwe
9. NRM - Uganda
10. FRELIMO - Msumbiji
11. MPLA - Angola

Hivi ni vyama vya madikiteita. Kweli of all friends unakwenda kwa North Korea kweli? North Korea huwa hakuna bunge, mahakama, vyombo vya habari vya binafsi etc etc
 
Hata ukiangalia kiuchumi, Ukiondoa China na Urusi hao wengine wote wapo hoi bin taaban. Ndo utaelewa CCM ni chama mfu.
 
Baadhi ya vyama vilivyojumuika na CCM na kutoa salamu zao leo;

1. CPRF - Russia
2. WPK - Korea Kaskazini
3. CPC - China
4. PCC - Cuba
5. ANC - Afrika Kusini
6. RPF - Rwanda
7. SWAPO - Namibia
8. ZANUPF - Zimbabwe
9. NRM - Uganda
10. FRELIMO - Msumbiji
11. MPLA - Angola

Hivi ni vyama vya madikiteita. Kweli of all friends unakwenda kwa North Korea kweli? North Korea huwa hakuna bunge, mahakama, vyombo vya habari vya binafsi etc etc
ZUngumzia dictatoship ndani ya CDM, imekiua chama for public good
 
Back
Top Bottom