Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Ndio vyama mrengo wao. Angalia aina ya mifumo ilivyo, na record ya hizo nchi ambazo vyama vya kikomunist bado vinapngozaView attachment 3350844
Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti.
Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party (KWP) na Communist Party of Cuba (PCC).
Kwa upande wa Afrika vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Prosperity Party (Ethiopia), Rwanda Patriotic Front (Rwanda), CNDD- FDD (Burundi), MPLA (Angola), Frelimo (Msumbiji), ZANU- PF- (Zimbabwe), SWAPO (Namibia), African National Congress (Afrika Kusini), NRM (Uganda),
Safi ni mahusiano mazuriView attachment 3350844

Hao wote ni watu hatari sana hiki kibibi kina muda mchache saanaView attachment 3350844
Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti.
Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party (KWP) na Communist Party of Cuba (PCC).
Kwa upande wa Afrika vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Prosperity Party (Ethiopia), Rwanda Patriotic Front (Rwanda), CNDD- FDD (Burundi), MPLA (Angola), Frelimo (Msumbiji), ZANU- PF- (Zimbabwe), SWAPO (Namibia), African National Congress (Afrika Kusini), NRM (Uganda),
Hao waalikwa waache kuingilia siasa za nchi yetu.Vyama 13 rafiki vya CCM vimeitikia mwaliko wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma mwaka 2025. Vyama vyote ni vya kidemokrasia. Hakika bila CCM imara nchi itayumba.
View: https://www.instagram.com/p/DKR5xaUoZPx/?igsh=MWt2cmdyMzlld3VoNA==
Hata ukiangalia kiuchumi, Ukiondoa China na Urusi hao wengine wote wapo hoi bin taaban. Ndo utaelewa CCM ni chama mfu.Baadhi ya vyama vilivyojumuika na CCM na kutoa salamu zao leo;
1. CPRF - Russia
2. WPK - Korea Kaskazini
3. CPC - China
4. PCC - Cuba
5. ANC - Afrika Kusini
6. RPF - Rwanda
7. SWAPO - Namibia
8. ZANUPF - Zimbabwe
9. NRM - Uganda
10. FRELIMO - Msumbiji
11. MPLA - Angola
Hivi ni vyama vya madikiteita. Kweli of all friends unakwenda kwa North Korea kweli? North Korea huwa hakuna bunge, mahakama, vyombo vya habari vya binafsi etc etc
ZUngumzia dictatoship ndani ya CDM, imekiua chama for public goodBaadhi ya vyama vilivyojumuika na CCM na kutoa salamu zao leo;