Pre GE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

Pre GE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dhambi ya udalali wa Taifa leo nyie ccm itawaandama sana..Hata watu wa CCM wako huko kimaslahi binafsi sio kwa maslahi ya Chama..ukiingia huko ndani watu ni full kutafuta connection zao, wake zao, watoto wao....wengine immunity ili waogopwe n.k Ni wachache sana wenye nia njema CCM huko..
mawazo na mtazamo wako binafsi dhidi ya CCM ni uhuru na haki yako 🐒

lakini upotoshaji utatarekebishwa, kupingwa na kudhibitiwa vikali mara moja..

CCM ni taasisi ya kitaifa ya waTanzania wote. ni mali ya umma kwa manufaa na maslahi mapana ya wanainchi wote..

mambo binafsi sijui ya connections yafanyike huko labda kwenye vitaasisi binafsi vinginevyo lakini sio CCM..

hata hivyo,
CCM ni connection ya waTanzania wote 🐒
 
CCM inawajibika kwa wananchi na kwa waTanzania wote kwa ujumla 🐒

hayo ya mtu binafsi tafteni namna ya kudeal nayo, uwajibikaji wa CCM ni kwaajili ya Taifa zima 🐒
ndiyo maana nilianza kukuuliza kama unajua maana ya uwajibikaji? huwezi kuzungumzia uwajibikaji wa taasisi bila kuzungumzia uwajibikaji wa watu. taasisi huundwa na watu BILA SHAKA UNAMJUA NA KUIJUA HISTORIA YA MAKONDA ALIANZA KAZI LINI? ANAKAA WAPI? JE ANA MILIKI MALI ANAZO MILIKI KIHALALI KAMA MTUMISHI WA UMMA Wa huko kwenu? alizipataje? unajua maaana ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yaliyopo lumumba?
 
elewa bas gentleman?🐒

uwajibikaji wa CCM ni kwa maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote 🐒

hiyo ya kufuatilia mambo binafsi ya mtu moja moja ni shughuli ya waliokosa la kufanya. unawezaje kutumia muda wako kufuatilia mambo ya mwenzako kwanza?🐒

hatufanani na daima binadamu hatutafanana,

itoshe tu kusema,
miongoni mwa uwajibikaji mzuri wa CCM kwa waTanzania ni pamoja na kuhakikisha amani, utulivu na maelewano miongoni mwa waTanzania vinatamalaki usiku na mchana,

sasa kuna mbadala wake hapo?🐒
 
Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono...

Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi..

Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania kumezidisha imani na kuaminika kwa CCM ndani na nje ya Tanzania.

Ndicho chama pekee cha siasa nchini, chenye nia, dhamira na makusudio ya kweli na ya uhakika katika kutimiza ahadi, matarajio na ndoto za maendelo kwa waTanzania wa makundi mbalimbali, ukilinganisha na vyama vingine vya siasa vilivyo kosa kabisa uelekeo, sera na dira bali vimepambwa na uchu binafsi wa mali na madaraka miongoni mwa waandamizi woa, huku uzalendo wao ukiwa wa mashaka makubwa mno na urai wao usio aminika kabisa japo ni wa kuzaliwa 🐒

Uzalendo usio na shaka, bidii na uadilifu wa viongozi waandamizi wa CCM, daima imekua chachu ya uhalali CCM kutawala kidemokrasia na katika kila uchaguzi kupewa dhamana na ridhaa kubwa, nzito na muhimu sana ya kuwatumikia na kuwaongoza waTanzania..

Siku zote, CCM itaendelea kutawala kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi kwa uwazi, haki na usawa. CCM mara zote CCM na serikali yake sikivu, kuwajibika kulinda mipaka yote ya nchi, watu, makazi na mali za waTanzania wote, na daima amani na utulivu na utangamano wa waTanzania itakua ndio kipaumbele muhimu cha kwanza...

Hongera sana kamati mbalimbali za Chama, hususani kamati za siasa katika ngazi mbalimbali za chama kwa kazi kubwa mnazozifanya kufuatilia kwa karibu sana utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2020-2025.

Hiyo ndiyo ile CCM madhubuti..
hongera sana mwenyekiti wa CCM taifa comrade Dr Samia suluhu Hassan, kwa kuongoza na kusimamia hilo kwa vitendo..

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒

Pia soma:Kuelekea 2025 - Kongole nyingi sana kwa mwenyekiti wa CCM taifa
Niseme tu kwa sasa jukwaa letu pendwa JF limeingiliwa na chawa , mamluki, watu walio jawa ushabiki zaidi , hoja zamsingi, ufahamu wa kuchambua mambo kwa undani hakuna tena , kwa sasa hku ni zaidi ya faceboock 🙌🙌…… kwa sasa mada nyingi hmu ni zakusifu na kuabudu chura kiziwi basi Mshana Jr njoo tusaidie masta 2015 kurudi nyuma mambo hayakuwa iviii
 
sasa si muende mkajikusanye kwenye hilo juukwaa lenu pendwa muendelee kukariri na kukaririshwa mambo,

JF ni jukwaa huru kwa wote bila kujali unakerwa au kufurahishwa na mada au hoja zinazowasilishwa humu na wadau..

cha muhimu zaidi ni kwamba ukifikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala unakaa kimya tu itapendeza zaidi, mambo yanabadilika,

na CCM inaendelea kujizatiti kushika hatamu mamlakani na hakuna mbadala wala uwezekano wa kua na mbadala 🐒
 
Ukisikia uchawi ndo huu sasa
 
Back
Top Bottom