Pre GE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mawazo na mtazamo wako binafsi dhidi ya CCM ni uhuru na haki yako πŸ’

lakini upotoshaji utatarekebishwa, kupingwa na kudhibitiwa vikali mara moja..

CCM ni taasisi ya kitaifa ya waTanzania wote. ni mali ya umma kwa manufaa na maslahi mapana ya wanainchi wote..

mambo binafsi sijui ya connections yafanyike huko labda kwenye vitaasisi binafsi vinginevyo lakini sio CCM..

hata hivyo,
CCM ni connection ya waTanzania wote πŸ’
 
CCM inawajibika kwa wananchi na kwa waTanzania wote kwa ujumla πŸ’

hayo ya mtu binafsi tafteni namna ya kudeal nayo, uwajibikaji wa CCM ni kwaajili ya Taifa zima πŸ’
ndiyo maana nilianza kukuuliza kama unajua maana ya uwajibikaji? huwezi kuzungumzia uwajibikaji wa taasisi bila kuzungumzia uwajibikaji wa watu. taasisi huundwa na watu BILA SHAKA UNAMJUA NA KUIJUA HISTORIA YA MAKONDA ALIANZA KAZI LINI? ANAKAA WAPI? JE ANA MILIKI MALI ANAZO MILIKI KIHALALI KAMA MTUMISHI WA UMMA Wa huko kwenu? alizipataje? unajua maaana ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yaliyopo lumumba?
 
elewa bas gentleman?πŸ’

uwajibikaji wa CCM ni kwa maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote πŸ’

hiyo ya kufuatilia mambo binafsi ya mtu moja moja ni shughuli ya waliokosa la kufanya. unawezaje kutumia muda wako kufuatilia mambo ya mwenzako kwanza?πŸ’

hatufanani na daima binadamu hatutafanana,

itoshe tu kusema,
miongoni mwa uwajibikaji mzuri wa CCM kwa waTanzania ni pamoja na kuhakikisha amani, utulivu na maelewano miongoni mwa waTanzania vinatamalaki usiku na mchana,

sasa kuna mbadala wake hapo?πŸ’
 
Niseme tu kwa sasa jukwaa letu pendwa JF limeingiliwa na chawa , mamluki, watu walio jawa ushabiki zaidi , hoja zamsingi, ufahamu wa kuchambua mambo kwa undani hakuna tena , kwa sasa hku ni zaidi ya faceboock πŸ™ŒπŸ™Œβ€¦β€¦ kwa sasa mada nyingi hmu ni zakusifu na kuabudu chura kiziwi basi Mshana Jr njoo tusaidie masta 2015 kurudi nyuma mambo hayakuwa iviii
 
sasa si muende mkajikusanye kwenye hilo juukwaa lenu pendwa muendelee kukariri na kukaririshwa mambo,

JF ni jukwaa huru kwa wote bila kujali unakerwa au kufurahishwa na mada au hoja zinazowasilishwa humu na wadau..

cha muhimu zaidi ni kwamba ukifikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala unakaa kimya tu itapendeza zaidi, mambo yanabadilika,

na CCM inaendelea kujizatiti kushika hatamu mamlakani na hakuna mbadala wala uwezekano wa kua na mbadala πŸ’
 
Ukisikia uchawi ndo huu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…