Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

Nafikiri maneno yangu unaanza kuyaona November si mbali
 
Binafsi ccm imepoteza mvuto kabisa. Wakina lowassa Ndio viongozi ambao walikuwa wakikipa ccm uhai kwa kipindi ichi ambacho viongozi mashuhuri na wazalendo ndani ya taifa letu wanapatikana ndani ya Vyama vya upinzani tu.ccm hakina kiongozi mzalendo hata hata huyo mmoja aliyeko sasa naona anaigiza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…