maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Kwa ujinga wanaofanya CCM wanajikuta wanazalisha kundi kubwa linaloipinga CCM pamoja na Serikali yake au kwa akili ndogo za Viongozi waliopo.
Magufuri hakutumia nguvu kubwa kuirudisha CCM iliyokuwa kwenye shimo huku akipendwa na kila mtu mpaka wapinzani ingawa alikuwa dikteta uchwara.
Baada ya kifo chake hakuna mwenye akili tena ndani ya CCM, kwani mipango yao ni ya ovyo kabisa sijui inafanywa na watu wasiokuwa na elimu, kuanzia kesi ya Tundu Lissu, mashahidi wa mchongo,wale wajinga waliokuwa wanajaza ukumbi wa mahakama, Mashehe njaa wa mchongo na yule wa kukata vichwa.
waandamanaji, Uchaguzi feki na Mauaji ya Watanganyika mpaka Wakristo wa mchongo
HIi inawafanya na wale ambao hawakutaka kuwa wapinzani wajiingize kwenye kupambana na Serikali ya CCM,ndiyo maana chuki imezidi kwa kila mtu nayehusika na CCM kwa namna moja au nyingine