Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Zamani mlikuwa pamoja mlikubaliana waislam wawedaraja lachini lakini sasa chama kimeamua watuwote nisawa namikataba tutaingia nayoyote ilikuondoa unyonyaji sasa waliozoea vyakunyonga vyakuchinja hawavitaki.Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .
Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
Duh 🙄 !! Ngoja tuone Karma inavyotenda !!Zamani mlikuwa pamoja mlikubaliana waislam wawedaraja lachini lakini sasa chama kimeamua watuwote nisawa namikataba tutaingia nayoyote ilikuondoa unyonyaji sasa waliozoea vyakunyonga vyakuchinja hawavitaki.
Waambieni waendelee kutuma vijana wao kudhalilisha wazee ! Malipo yao yako njiani yaja kwa kasi ya 5g 🙏🙏🙏Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .
Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
Imeendaaa hiyoooo!!Duh 🙄 !! Ngoja tuone Karma inavyotenda !!
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
Hicho chama kitasajiliwa wapi na nchi gani? Samia ndiye anamteuwa msajili wa vyama vya siasa. In short Samia ndiye anasajili vyama vya siasa
So true . We wait . Haya mambo magumu Sana . Africa tuna kaziHicho chama kitasajiliwa wapi na nchi gani? Samia ndiye anamteuwa msajili wa vyama vya siasa. In short Samia ndiye anasajili vyama vya siasa
Ni Tanzania tu (wala siyo Afrika nzima) ndiyo kazi. Lkn yote haya yanatokea hapa Tanzania kwasabb ya ukondoo wetu tu. Niger, Sudan, Burkina Faso na Liberia wameweza. Why not us?So true . We wait . Haya mambo magumu Sana . Africa tuna kazi
nimecheka hapo kwenye ukondoo wenu.Ni Tanzania tu (wala siyo Afrika nzima) ndiyo kazi. Lkn yote haya yanatokea hapa Tanzania kwasabb ya ukondoo wetu tu. Niger, Sudan, Burkina Faso na Liberia wameweza. Why not us?
Ni upepo tuu utapita!, CCM is still as strong as ever!. Kama unasubiria CCM ivunjike, utasubiri sana!.Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .
Huo ndo ukweliIko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .
Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
What classic comment from baba askofuTusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
Upepo bandarini ni kawaida, usitegemee utapita!!Ni upepo tuu utapita!, CCM is still as strong as ever!. Kama unasubiria CCM ivunjike, utasubiri sana!.
P