CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .

Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
Usiwe na wasi wasi kwenye kampeni kutakuwa na tshirt,kofia,kanga na skafu za kutosha tutapeta tu. Usisahau Igp Wambura na vijana wake
 
Back
Top Bottom