CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

Tatizo sio upinzani, tatizo ni upumbavu wa Watanzania.

Kenya vijana wadogo kabisa wamekataa upumbavu unaofanywa na serikali mpaka Rais Ruto ame surrender.

Vijana wa Tanzania tuko busy na ngono, pombe, kubeti na ubishani wa nani zaidi kati ya Simba na Yanga, Diamond na Alikiba.

Hapo utawalaumu wapinzani bure. Tatizo ni mentality za Watanzania.
 
Kwanini usiingie wewe barabarani na familia Yako Ili vijana tuone mfano
 
Najua kuwa andunje msigwa yuko CCM sasa sijui hoja yako iko wapi ndiyo maana nasema wewe ni mwezi mchanga.
Hoja yangu ukiwa mwanachama wa upinzani ni mjinga sababu mwenyekiti ccm damu halafu unaenda kumsikiliza mnafki Bora usifuatilir siasa ushabikie simba na yanga sababu zinatupa furaha
 
Ni ngumu,la sivyo TZ itachafuka....labda wabadilike
 

Your browser is not able to display this video.
 
Haiwez kukaa milele...tunasubir kimvua kiache kunyesha tuamke...tunaendelea kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…