Unaandika ujinga dogoJinga wewe acha watawale tu sio kuwapa nchi hao matapeli wa Kilimanjaro yaani Bora tutawaliwe na CCM. Mpaka kihama mjinga wewe mnataka muifirisi nchi hii Kwa ukabila wenu
Mabadiliko Bora yatokee chama Cha mkoa wowote ila sio Kwa hao wamasai ni wabinafsi sanaUnaandika ujinga dogo
Una stress za maisha
Una hasira na watu wa kilmanjaro
Mimi sitoki Kilimanjaro lakini ni muumini wa mabadiliko
Takwimu zinaonyesha upinzani umeenea tz nzimA
Hongera wewe ambaye umefanikiwa kuyanyoosha hadi yakalainika .Maisha yamekaza.....
SawaHongera wewe ambaye umefanikiwa kuyanyoosha hadi yakalainika .
Afadhali umeoonysha hisia zako na nimejua mawazo yakoJinga wewe acha watawale tu sio kuwapa nchi hao matapeli wa Kilimanjaro yaani Bora tutawaliwe na CCM. Mpaka kihama mjinga wewe mnataka muifirisi nchi hii Kwa ukabila wenu
Unaijua milele au bangi zinakwambia!Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Endelea kuota hamna siku ccm itatoka madarakani mpaka dunia inaishaUnaijua milele au bangi zinakwambia!
Kwasababu ya njaa, (ukata) a. k. a adui muombee njaaKwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Goli la mkono! Mseng***ma yule Nepi!Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Utalia sanaGoli la mkono! Mseng***ma yule Nepi!
Fanya mpango uzimue vinginevyo utaota ndoto mbaya!Endelea kuota hamna siku ccm itatoka madarakani mpaka dunia inaisha
Si ndio hapo nawambia ukweli wanabishaCCM kutoka madarakani labda ni kwa mapinduzi ya jeshi au Maandamano makubwa sana kama yale ya Kenya
Tanzania hakuna Upinzani wa kuiondoa CCM madarakani
Kila la kheri 👋Endelea kudanganya na mbowe wewe ukibaki kupigwa hua mwenzio anavuta mkwanja na wakubwa
MTOA mada kasoma kafika mpaka lasaba lakini anaadika kama mtoto wa "vidudu"CCM inatumia uwoga na ujinga wa wananchi kuendelea kubaki madarakani. Kama wanataka waone sura halisi za Raia wafanye uchaguzi uwe huru na haki.
Kama ndo hivo, basi na wewe utaishi milele...Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.
Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.
Sijui kwa ufahamu wako juu ya matumizi ya neno "milele". Lakini naweza kukufafanulia kuwa Milele ni neno linalomaanisha uwepo usio na mwanzo wala mwisho unavyosadikiwa na imani mbalimbali kuhusu maisha ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu wa roho.Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.