CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

Wewe ulivyo mpuuzi unadhani Africa kuna chama tawala kilichowahi kutoka kwa njia ya kura? Nchi itabadili mfumo endapo tu raia wake watajitambua na kuacha ubinafsi na ukabila.

Bila raia kubadilika CCM kutoka labda kwa njia zile za Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi.
 
Endelea kuota
 
Good thinking
 

Yes itaishi sana kwa kuwa inauua upinzani yenyewe, mtoto akizaliwa alindwa na wakubwa so km wakubwa wanataka kuishi wao tu wataendelea kiongozi!
 
Yes itaishi sana kwa kuwa inauua upinzani yenyewe, mtoto akizaliwa alaindwa na wakubwa so km wakubwa wanataka kuishi wao tu wataendelea kiongozi!
Noted with thanks, una akili sana, watambue majirani na marafiki zako wasome zaidi kuhusu propaganda, pia kwanini waliopewa dhamana kisiasa wanaahirisha kufikiri kizalendo,.ak.a kujizima data
 
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa sababu ni chama dola na pia watanzania wengi ambao ni wapiga kura hawaelewi yanayoendelea. Wao wakishapata buku 3, kanga na muziki basi wanachukua wanaweka waaa.

ccm haindolewi kwa kura kiongozi, kura hata mpige 100% itashinda ushaambiwa na nape na ng'umbi kwamba ushindi unapangiwa porini! Na actually washamaliza mchakato wanasubri kutangaza washindi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…