CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

Wewe ulivyo mpuuzi unadhani Africa kuna chama tawala kilichowahi kutoka kwa njia ya kura? Nchi itabadili mfumo endapo tu raia wake watajitambua na kuacha ubinafsi na ukabila.

Bila raia kubadilika CCM kutoka labda kwa njia zile za Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi.
 
Sijui kwa ufahamu wako juu ya matumizi ya neno "milele". Lakini naweza kukufafanulia kuwa Milele ni neno linalomaanisha uwepo usio na mwanzo wala mwisho unavyosadikiwa na imani mbalimbali kuhusu maisha ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu wa roho.

CCM ikiwa ni "legal entity" iliyoanza kuishi mwaka 1977 na ambayo iilikufa toka mwaka 1995 na ambayo pia inaweza kuzikwa rasmi wakati wowote kuanzia hivi sasa! unaihusisha na maisha ya umilele!?
Endelea kuota
 
Wewe ulivyo mpuuzi unadhani Africa kuna chama tawala kilichowahi kutoka kwa njia ya kura? Nchi itabadili mfumo endapo tu raia wake watajitambua na kuacha ubinafsi na ukabila.

Bila raia kubadilika CCM kutoka labda kwa njia zile za Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi.
Good thinking
 
Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.

Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao hao ndani ya hivyo vyama vya upinzani kuna wenyekiti wa vyama ambao ni CCM damu.

Sasa fikiria kama mpinzani ni CCM damu, je hiyo CCM kuna dalili ya kutoka kifupi nyie Chadema mtoeni Mbowe hapo ni CCM damu ndio tatizo anakula na wakubwa halafu siku akiwaambia muandamane muambieni aweke familia yake mbele.

Yes itaishi sana kwa kuwa inauua upinzani yenyewe, mtoto akizaliwa alindwa na wakubwa so km wakubwa wanataka kuishi wao tu wataendelea kiongozi!
 
Yes itaishi sana kwa kuwa inauua upinzani yenyewe, mtoto akizaliwa alaindwa na wakubwa so km wakubwa wanataka kuishi wao tu wataendelea kiongozi!
Noted with thanks, una akili sana, watambue majirani na marafiki zako wasome zaidi kuhusu propaganda, pia kwanini waliopewa dhamana kisiasa wanaahirisha kufikiri kizalendo,.ak.a kujizima data
 
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa sababu ni chama dola na pia watanzania wengi ambao ni wapiga kura hawaelewi yanayoendelea. Wao wakishapata buku 3, kanga na muziki basi wanachukua wanaweka waaa.

ccm haindolewi kwa kura kiongozi, kura hata mpige 100% itashinda ushaambiwa na nape na ng'umbi kwamba ushindi unapangiwa porini! Na actually washamaliza mchakato wanasubri kutangaza washindi tu
 
Back
Top Bottom