Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo.
Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa