Pre GE2025 CCM itashinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kishindo na halali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi sio chawa mwenzio naona unakomenti kichawa
sifahamu chochote kuhusu dhana za kinyumbu au vinginevyo,
ile jambo ya maana zaidi ni kumwaga ukweli whether mtoa hoja ana furahi ama ana chukia kuhusu ukweli huo bayana ndani ya mjadala huru wa wazi ndani ya jukwaa hili..

infact,
hakuna haja ya kubabaika na kuweweseka na yeyote dhidi ya ukweli uliyouanzisha mwenyewe na wadua tunaobainisha na kuoongeza ukweli zaidi.

mengine ni useless tu gentleman na hayana maana 🐒
 
Nakuona unakomenti vitu ambavyo sijaandika mara watanzania wanamkubali Samia mara wapinzani hawana sera Mimi sijaandika hayo mambo fungua Uzi wa kumsifia huyo mtu Mimi sio chawa mwenzio
 
kwahiyo ulitaka nikomenti ulichoandika wewe, right? Yaani ni copy na kupeste 🤣

kama ulikuja na majibu yako mfukoni kwenye jukwaa na mjadala huru utaishia kupandisha mori, mihemko na ghadhabu tu..

Infact,
mtu yeyote makini hawezi kuandika ulichoandika wewe, ispokua anaandika cha ziada kilicho bora na cha maana zaidi..

sasa ukikikasirikia hilo ni juu yako binafsi gentleman🤣

ukweli utabaki pale pale,
CCM itashinda uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kishindo kikuu, na uchaguzi mkuu wa 2025 Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi huo kwa wepesi zaidi na hatimae kuunda Serikali na kuongoza nchi kwa ngwe ya pili..

hao wengine wanao mbwelambwela, waliopoteza uelekeo, wasio na mipango mikakati na wanaotegemea hisia na huruma za wananchi, waendelee tu kupuuza processes za uchaguzi ikiwa ni pamoja na kujiandikisha, wataisoma namba bila mbambamba yoyote 🐒
 
Narudia tena usiniandikie gazeti refu Mimi sio chawa mwenzio
 
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Nimecheka kwa nguvu, unasena wapinzani hawajajiandikisha, ila idadi ya Tamisemi inasema ina wapiga kura 31m+, yaani wapiga kura ni wengi kuliko watanzania wote wenye umri zaidi ya miaka 18! Rudi ukatengeneze propaganda upya kulingana na uongo Tamisemi.
 
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Itàachaje kushinda kama Watoto wetu wa Miaka 14 wanapewa Miaka 32?Hujamsikia Mtoto wa maweni kule Kigamboni?
 
Narudia tena usiniandikie gazeti lefu Mimi sio chawa mwenzio
Gentleman,
kwamba uvivu wako utanibabaisha au kunizui mimi kumwaga ukweli kwa faida ya wadau na taifa kwa ujumla ?🤣
 
Yes atachukua uraisi sababu wapinzani hawataki kujiandikisha
Mmmmm! Mkuu, haya madaftari yaliyotolewa na Tamisemi kuandikia majina ya wapiga kura serikali za mitaa, ndiyo yatakayo tumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2025?
Kwa hiyo mimi nilyejiandikisha mwaka 2017, sitapiga kura?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani hawawezi kujiandikisha hata mwakani mbona hiyo ipo wazi kama unashindwa kujiandikisha ngazi za chini huko kwenye uraisi ndio utaweza
 
Itashinda sababu inashiriki pekeyake na kila kona na mchakato wa hilo zoezi wanasimamia wao.
 
kwahiyo ulitaka nikomenti ulichoandika wewe, right? Yaani ni copy na kupeste 🤣

kama ulikuja na majibu yako mfukoni kwenye jukwaa na mjadala huru utaishia kupandisha mori, mihemko na ghadhabu tu..

Infact,
mtu yeyote makini hawezi kuandika ulichoandika wewe, ispokua anaandika cha ziada kilicho bora na cha maana zaidi..

sasa ukikikasirikia hilo ni juu yako binafsi gentleman🤣

ukweli utabaki pale pale,
CCM itashinda uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kishindo kikuu, na uchaguzi mkuu wa 2025 Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi huo kwa wepesi zaidi na hatimae kuunda Serikali na kuongoza nchi kwa ngwe ya pili..

hao wengine wanao mbwelambwela, waliopoteza uelekeo, wasio na mipango mikakati na wanaotegemea hisia na huruma za wananchi, waendelee tu kupuuza processes za uchaguzi ikiwa ni pamoja na kujiandikisha, wataisoma namba bila mbambamba yoyote 🐒
Chawa....... :FeelsDance:
 
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo.

Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Ukweli mchungu huu..chadema wako busy na harakati tuh
 
Infact,
that is plain truth..
na unaona hata upinzani wenyewe wanaukubali wakiwa na uchungu mwingi sana ukitazama sura na mihemko yao..

Friends ladies and gentlemen,
mambo haya ya siasa ni kujipanga tu bila makasiriko na bila kutengemea huruma ya wananchi. Numbers matters most.

Kila la kheri kipenz cha waTanzania wote comrade Dr.Samia Suluhu Hassan utakapochukua hatamu tena za uongozi wa Taifa letu Oct.2025🐒
Mimi nimejiandikisha na ni mwanachama wa CCM ila siipigii kura CCM Ng'oooo nishasema na sihami
 
We futibolu upo dunia ya ngapi? ccm haihitaji kura inakadiria namba tu kule maporini washasema, haya jisikilize hapo chini usijtoe ufahamu
Mkiendelea na akili hizi msahau upinzan kushika dolar .
Upinzan uacheni na harakati ufanye siasa safi
 
Back
Top Bottom