Pre GE2025 CCM itashinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kishindo na halali

Pre GE2025 CCM itashinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kishindo na halali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimecheka kwa nguvu, unasena wapinzani hawajajiandikisha, ila idadi ya Tamisemi inasema ina wapiga kura 31m+, yaani wapiga kura ni wengi kuliko watanzania wote wenye umri zaidi ya miaka 18! Rudi ukatengeneze propaganda upya kulingana na uongo Tamisemi.
Nimejiuliza kama sensa ya iliyopita ilisema kuna watanzania 60m inamaana watanzania above 18yrs onld ni zaidi ya 50%? inawezekana kweli na wote wajiandikeshe 100% kuna kitu hakiko sawa aisee
 
Mimi nimejiandikisha na ni mwanachama wa CCM ila siipigii kura CCM Ng'oooo nishasema na sihami
kura ni siri,
ni uamuzi, uhuru na haki yako wala hayupo wa kubabaika na kura yako.

mpigie kiongozi wa maana makini kwa mustakabali wako na familia yako baada ya kufuatilia na kuchuja sera na mipango yao katika kampeni gentleman 🐒
 
kura ni siri,
ni uamuzi, uhuru na haki yako wala hayupo wa kubabaika na kura yako.

mpigie kiongozi wa maana makini kwa mustakabali wako na familia yako baada ya kufuatilia na kuchuja sera na mipango yao katika kampeni gentleman 🐒
Bado ni siri hapa si nmeandika "UPOPO"
 
We itakua umeshalawitiwa maana dalili zote zinaonyesha
niliona tangu mwanzo ulikua unafanya maziezi ya kuporomosha matusi mazito mazito kama dawa kama kawa..🤣

naona umeanza na intro 🤣
 
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo.

Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Atakaekupinga anajitakia kutekwa au kuuwawa kama marehemu mzee kibao
 
Wataipigia ccm sababu ni wanachama na wapenzi wa hicho chama lakini wapinzani hawajajiandikisha utapigiwaje kura na mtu ambae sio mpenzi wa chama chako kwahiyo unasubiri mtu wa ccm aliejiandikisha akapigie kura chadema hizi akili Gani jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe unajuaje kama wapinzani hawakujiandikisha?
Bila WIZI CCM haiwezi kushinda kwenye sanduku la kura!
 
Back
Top Bottom