Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Imepata kura ngapiIlishashinda kabla hata ya uchaguzi boss...
Even wewe ungeshinda kama mifumo yote iko upande wakoDalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Ndio maana nikasema ccm ITASHINDA kihalali kabisa sababu kutakua hamna kura za kuibaEven wewe ungeshinda kama mifumo yote iko upande wako
Imepata kura ngapi
Infact,Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Naomba idadi ya kura hiki ni Nini tenaWe futibolu upo dunia ya ngapi? ccm haihitaji kura inakadiria namba tu kule maporini washasema, haya jisikilize hapo chini usijtoe ufahamu
Yes atachukua uraisi sababu wapinzani hawataki kujiandikishaInfact,
that is plain truth..
na unaona hata upinzani wenyewe wanaukubali wakiwa na uchungu mwingi sana ukitazama sura na mihemko yao..
Friends ladies and gentlemen,
mambo haya ya siasa ni kujipanga tu bila makasiriko na bila kutengemea huruma ya wananchi. Numbers matters most.
Kila la kheri kipenz cha waTanzania wote comrade Dr.Samia Suluhu Hassan utakapochukua hatamu tena za uongozi wa Taifa letu Oct.2025🐒
Naomba idadi ya kura hiki ni Nini tena
Naomba idadi ya kura walizoshinda ccm mbona unazungukazungukaUsijitoe ufahamu na maswali primari hapa
Ignored!Naomba idadi ya kura walizoshinda ccm mbona unazungukazunguka
Wataipigia ccm sababu ni wanachama na wapenzi wa hicho chama lakini wapinzani hawajajiandikisha utapigiwaje kura na mtu ambae sio mpenzi wa chama chako kwahiyo unasubiri mtu wa ccm aliejiandikisha akapigie kura chadema hizi akili Gani jamani🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo ni sababu finyu! How far are you sure hao waliojiandikisha wataipigia kura CCM?
Bila wizi CCM haiwezi kushinda!
Hujielewi kwani unaumuhimu Gani kwenye maisha yanguIgnored!
Hahaha kwa kuwa we una umuhimu wowote?? We jipendekeze upate ugali hukoHujielewi kwani unaumuhimu Gani kwenye maisha yangu
sio tu kujiandikisha lakini pia kutengemea huruma za wananchi na miujiza. Hawana mipango mikakati na wamepoteza uelekeo kabisa..Yes atachukua uraisi sababu wapinzani hawataki kujiandikisha
Mimi sio chawa mwenzio naona unakomenti kichawasio tu kujiandikisha lakini pia kutengemea huruma za wananchi na miujiza. Hawana mipango mikakati na wamepoteza uelekeo kabisa..
navipongeza sana vile vyama kadhaa vya siasa vya upinzani nchini ambavyo tayari vimeshaamua kumuunga mkono Dr Samia suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Haya ni maono ya mbali na ni uamuzi wa kizalendo sana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.🐒