sifahamu chochote kuhusu dhana za kinyumbu au vinginevyo,Mimi sio chawa mwenzio naona unakomenti kichawa
Nakuona unakomenti vitu ambavyo sijaandika mara watanzania wanamkubali Samia mara wapinzani hawana sera Mimi sijaandika hayo mambo fungua Uzi wa kumsifia huyo mtu Mimi sio chawa mwenziosifahamu chochote kuhusu dhana za kinyumbu au vinginevyo,
ile jambo ya maana zaidi ni kumwaga ukweli whether mtoa hoja ana furahi ama ana chukia kuhusu ukweli huo bayana ndani ya mjadala huru wa wazi ndani ya jukwaa hili..
infact,
hakuna haja ya kubabaika na kuweweseka na yeyote dhidi ya ukweli uliyouanzisha mwenyewe na wadua tunaobainisha na kuoongeza ukweli zaidi.
mengine ni useless tu gentleman na hayana maana 🐒
kwahiyo ulitaka nikomenti ulichoandika wewe, right? Yaani ni copy na kupeste 🤣Nakuona unakomenti vitu ambavyo sijaandika mara watanzania wanamkubali Samia mara wapinzani hawana sera Mimi sijaandika hayo mambo fungua Uzi wa kumsifia huyo mtu Mimi sio chawa mwenzio
Narudia tena usiniandikie gazeti refu Mimi sio chawa mwenziokwahiyo ulitaka nikomenti ulichoandika wewe, right? Yaani ni copy na kupeste 🤣
kama ulikuja na majibu yako mfukoni kwenye jukwaa na mjadala huru utaishia kupandisha mori, mihemko na ghadhabu tu..
Infact,
mtu yeyote makini hawezi kuandika ulichoandika wewe, ispokua anaandika cha ziada kilicho bora na cha maana zaidi..
sasa ukikikasirikia hilo ni juu yako binafsi gentleman🤣
ukweli utabaki pale pale,
CCM itashinda uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kishindo kikuu, na uchaguzi mkuu wa 2025 Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi huo kwa wepesi zaidi na hatimae kuunda Serikali na kuongoza nchi kwa ngwe ya pili..
hao wengine wanao mbwelambwela, waliopoteza uelekeo, wasio na mipango mikakati na wanaotegemea hisia na huruma za wananchi, waendelee tu kupuuza processes za uchaguzi ikiwa ni pamoja na kujiandikisha, wataisoma namba bila mbambamba yoyote 🐒
Nimecheka kwa nguvu, unasena wapinzani hawajajiandikisha, ila idadi ya Tamisemi inasema ina wapiga kura 31m+, yaani wapiga kura ni wengi kuliko watanzania wote wenye umri zaidi ya miaka 18! Rudi ukatengeneze propaganda upya kulingana na uongo Tamisemi.Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Itàachaje kushinda kama Watoto wetu wa Miaka 14 wanapewa Miaka 32?Hujamsikia Mtoto wa maweni kule Kigamboni?Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Gentleman,Narudia tena usiniandikie gazeti lefu Mimi sio chawa mwenzio
Narudia tena usiniandikie gazeti refu Mimi sio chawa mwenzioGentleman,
kwamba uvivu wako utanibabaisha au kunizui mimi kumwaga ukweli kwa faida ya wadau na taifa kwa ujumla ?🤣
Mmmmm! Mkuu, haya madaftari yaliyotolewa na Tamisemi kuandikia majina ya wapiga kura serikali za mitaa, ndiyo yatakayo tumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2025?Yes atachukua uraisi sababu wapinzani hawataki kujiandikisha
Wapinzani hawawezi kujiandikisha hata mwakani mbona hiyo ipo wazi kama unashindwa kujiandikisha ngazi za chini huko kwenye uraisi ndio utawezaMmmmm! Mkuu, haya madaftari yaliyotolewa na Tamisemi kuandikia majina ya wapiga kura serikali za mitaa, ndiyo yatakayo tumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2025?
Kwa hiyo mimi nilyejiandikisha mwaka 2017, sitapiga kura?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikasema ITASHINDA kihalaliItashinda sababu inashiriki pekeyake na kila kona na mchakato wa hilo zoezi wanasimamia wao.
Chawa.......kwahiyo ulitaka nikomenti ulichoandika wewe, right? Yaani ni copy na kupeste 🤣
kama ulikuja na majibu yako mfukoni kwenye jukwaa na mjadala huru utaishia kupandisha mori, mihemko na ghadhabu tu..
Infact,
mtu yeyote makini hawezi kuandika ulichoandika wewe, ispokua anaandika cha ziada kilicho bora na cha maana zaidi..
sasa ukikikasirikia hilo ni juu yako binafsi gentleman🤣
ukweli utabaki pale pale,
CCM itashinda uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kishindo kikuu, na uchaguzi mkuu wa 2025 Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi huo kwa wepesi zaidi na hatimae kuunda Serikali na kuongoza nchi kwa ngwe ya pili..
hao wengine wanao mbwelambwela, waliopoteza uelekeo, wasio na mipango mikakati na wanaotegemea hisia na huruma za wananchi, waendelee tu kupuuza processes za uchaguzi ikiwa ni pamoja na kujiandikisha, wataisoma namba bila mbambamba yoyote 🐒
hakuna mwerevu anaweza kua influenced na mvivu mwenye mihemko na makasiriko hata siku moja gentleman 🤣Narudia tena usiniandikie gazeti refu Mimi sio chawa mwenzio
Chawa.......
Tafuta kazi ya kufanya acha kuwa chawa utaolewahakuna mwerevu anaweza kua influenced na mvivu mwenye mihemko na makasiriko hata siku moja gentleman 🤣
Ukweli mchungu huu..chadema wako busy na harakati tuhDalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo.
Sasa hapo ndio CCM itaibuka kidedea kwa ushindi mnono sababu wanachama wake wanajiandikisha Kila siku CCM haitokuja kutoka madarakani na UCHAGUZI wa mwaka 2025 Samia anaenda kushinda kihalali kabisa
Mimi nimejiandikisha na ni mwanachama wa CCM ila siipigii kura CCM Ng'oooo nishasema na sihamiInfact,
that is plain truth..
na unaona hata upinzani wenyewe wanaukubali wakiwa na uchungu mwingi sana ukitazama sura na mihemko yao..
Friends ladies and gentlemen,
mambo haya ya siasa ni kujipanga tu bila makasiriko na bila kutengemea huruma ya wananchi. Numbers matters most.
Kila la kheri kipenz cha waTanzania wote comrade Dr.Samia Suluhu Hassan utakapochukua hatamu tena za uongozi wa Taifa letu Oct.2025🐒
Mkiendelea na akili hizi msahau upinzan kushika dolar .We futibolu upo dunia ya ngapi? ccm haihitaji kura inakadiria namba tu kule maporini washasema, haya jisikilize hapo chini usijtoe ufahamu