Pre GE2025 CCM itashinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kishindo na halali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimejiuliza kama sensa ya iliyopita ilisema kuna watanzania 60m inamaana watanzania above 18yrs onld ni zaidi ya 50%? inawezekana kweli na wote wajiandikeshe 100% kuna kitu hakiko sawa aisee
 
Mimi nimejiandikisha na ni mwanachama wa CCM ila siipigii kura CCM Ng'oooo nishasema na sihami
kura ni siri,
ni uamuzi, uhuru na haki yako wala hayupo wa kubabaika na kura yako.

mpigie kiongozi wa maana makini kwa mustakabali wako na familia yako baada ya kufuatilia na kuchuja sera na mipango yao katika kampeni gentleman 🐒
 
Bado ni siri hapa si nmeandika "UPOPO"
 
We itakua umeshalawitiwa maana dalili zote zinaonyesha
niliona tangu mwanzo ulikua unafanya maziezi ya kuporomosha matusi mazito mazito kama dawa kama kawa..🤣

naona umeanza na intro 🤣
 
Atakaekupinga anajitakia kutekwa au kuuwawa kama marehemu mzee kibao
 
Wewe unajuaje kama wapinzani hawakujiandikisha?
Bila WIZI CCM haiwezi kushinda kwenye sanduku la kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…