wajibu wangu ni kukuandaa kisaikolojia tu gentleman ndio maana nayasema haya mambo ya msingi mapema ili isije kua suprise kwako baadae.Tuchukulie kuwa unachokisema ni kweli. So what? Kama ni CCM hii hii, ushindi huo wa 100% utakuwa na faida gani kwa Mtanzania wa kawaida?
CHAUMMA hamtawapa hata jimbo moja?
Itashinda kwani mnashindana au mnakamilisha ratiba? Vile viti mmewadanganya Chauma hamuwapi tena?Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa nyie Gen Zhizo ni ngoma au tambiko gentleman?
kumbuka,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania ni oct.29,2025.
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nasemaje,huo uropokaji unamtesa kweli huyo kibaraka kwa sasa aise dah
Ushindi upi?Tuchukulie kuwa unachokisema ni kweli. So what? Kama ni CCM hii hii, ushindi huo wa 100% utakuwa na faida gani kwa Mtanzania wa kawaida?
CHAUMMA hamtawapa hata jimbo moja?
let me confirm to you and to your fellow political goons and bandits, that without fear of contradictions, mtanuka mwenyewe on the spot.Nasemaje,
Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya,
Uchaguzi batili UTAYEYUKA, tutakinukisha kweli kweli.
NRNE 💪 🔥
Hakuna uchaguzi Tanzania haya maigizo ya kuchezea pesa za walipa kodi bora mjitangaze Ufalume kusiwepo na huu uchaguzi hewa feki wa magumashi kupoteza pesa za walipa kodi bureHili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Umekariri uropokaji wewe kibaraka wa mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar mmeikalia Tanganyika kimabavu sasa inaenda kudai Uhuru wake, muungano Ufe kila mmoja akae kwake wewe kibaraka wa Kaburu akaishi pemba na kuwa mvuvihuo uropokaji unamtesa kweli huyo kibaraka kwa sasa aise dah