GE2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge nchi nzima uchaguzi mkuu wa 29 Octoba, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
basi zingatia tarehe ya kuanza kampeni na tarehe ya uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania.
Ni muhimu sana hilo:NoGodNo:
Uchaguzi upi? Tarehe ipi? Ya nini? Uchaguzi haramu wa kishetani kati ya chauma ubwabwa chama mchepukaji wa ccm ni kituko sana, Ebu ccm muogopeni mungu tendeni haki itisha uchaguzi huru na haki acheni maigizo ya chaguzi magumashi
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.

Kwamba unategemea kuna mtu atamchagua chauma au act? Hahaha

Au kwamba kuna mtu atapiga kura kwa salum mwalimu? Au mpina?

Hakuna mtu atapiga kura because kura zipigwe au zisipigwe still mshindi ni ccm
 
well done,
ccm inapendwa na inaaminika zaid kwa wananchi, right? :NoGodNo:
 
Uchaguzi upi? Tarehe ipi? Ya nini? Uchaguzi haramu wa kishetani kati ya chauma ubwabwa chama mchepukaji wa ccm ni kituko sana, Ebu ccm muogopeni mungu tendeni haki itisha uchaguzi huru na haki acheni maigizo ya chaguzi magumashi
uchaguzi mkuu wa oct.29,2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge majimbo yote ya uchaguzi bila kujali au kuongopa mayowe ya waropokaji na wapiga ramli kama wewe gentleman:NoGodNo:
 
Punguza upumbavu hakuna uchaguzi mwaka huu mpaka kesi ya Maliza iamuliwe.
hiyo porojo haihusiani na uchaguzi gentleman,
uchaguzi ni suala la kikati sio ramli na uropokaji:NoGodNo:
 
La ajabu ni lipi kwa sheria hizo na Chauma na ACT vyama vya CCM . Matokeo tayari yapo namba za uongo zimesha tengenezwa tayari uchaguzi utakuwa geresha tu. Lakini Mungu ata wa surprise
acha ramli na upotoshaji wa kindezi hivyo gentleman :NoGodNo:
 
Umekariri uropokaji wewe kibaraka wa mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar mmeikalia Tanganyika kimabavu sasa inaenda kudai Uhuru wake, muungano Ufe kila mmoja akae kwake wewe kibaraka wa Kaburu akaishi pemba na kuwa mvuvi
relax na ujiepushe na ramli gentleman, funza watamaliza ubongo wako:NoGodNo:
 
Kura yangu ina thamani sana. Sipendi itumike kwa mambo ya Kitapeli.
 
ni muhimu sana kumpigia Dr.SAMIA SULUHU HASSAN wa ccm, mbunge na diwani wa ccm, na kwakweli Mungu akubariki sana gentleman :NoGodNo:
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Uchafuzi kwa gharama ya mlipa kodi
 
ni muhimu sana kumpigia Dr.SAMIA SULUHU HASSAN wa ccm, mbunge na diwani wa ccm, na kwakweli Mungu akubariki sana gentleman :NoGodNo:
Unashabikia udhalimu kisha unaambulia mifupa na makombo.. What a disaster!
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe mwana chadema usiku ,mchana ccm, hakuna uchaguzi mwaka huu asema Bwana jizime data ,kwanza rudisha kadi ya chama , chadema ya leo sio ya ndimi mbili kama nyoka, pumbavu.
Hii ni mara yangu katika mara kadhaaa nakwambia .

Unalo jambo moja tu kwa sasa , jitetenga na ccm rasmi , why humia ndani ya moyo wako wakati kule upo maslahi ,na sasa ccm imedhihilisha katika umma wa wa watz kwamba ni chama cha matajiri ,hakuna jembe na nyundo hapo mpaka pale.

Mfano nani mjomba wako maskinialifika mlimani city,achilia mbali ,Mama mzazi ,baba n.k , ccm sio chama cha jembe na nyundo tena ,kimekufa.

Leo anaeongwa baiskel ,pikipiki ni mpumbavu , alafu askari wa kwenye doria ya mamitandao anaona sifa kusema adharani mbele ya umma , laana sio kitu kizuri
 
well done,
ccm inapendwa na inaaminika zaid kwa wananchi, right? :NoGodNo:

Yes Because vyama vyote vya ccm

Au kuna chama cha upinzani Tanzania?

Wote ni ccm so of course ccm wanakubalika
 
Unashabikia udhalimu kisha unaambulia mifupa na makombo.. What a disaster!
calm down,
serikali sikivu ya ccm inawajibika kuwatoa Tanzania wote kutoka mavumbini na kuwaketisha mezani pamoja na wafalme.

uchaguzi mkuu wa oct.29,2025,
chagua rais, mbunge na diwani wa ccm kwa maendeleo yako na familia yako gentleman.:NoGodNo:
 
Yes Because vyama vyote vya ccm

Au kuna chama cha upinzani Tanzania?

Wote ni ccm so of course ccm wanakubalika
ccm ndio muasisi na mlezi wa vyama vingi nchini Tanzania.

kusitawi kwa demokrasia Tanzania ni matokeo ya sera na mipango mizuri ya serikali sikivu ya ccm:NoGodNo:
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Sasa isumbufu wa nini
 
Back
Top Bottom