GE2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge nchi nzima uchaguzi mkuu wa 29 Octoba, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Sawa. Wewe tutashinda njaa October 25
 
Kwamba zile kamati za hesabu za serikali wenyeviti wao mtawatolea wapi,ili mkatembeze bakuli kwa mabeberu.
 
Tukishinda kwa 100% halafu ndiyo tuanze tena kuachia watu kutoka magerezani kwa ahadi ya kuwapa ubunge viti maalum na kuwaapisha gereji ili angalau ionekane kuna wapinzani siyo?
 
Mmeua watu na kusweka watu ndani na mabomu juu ili wazungu wazuie maokoto sasa mnapata nini mnatuletea janjaa kitaa na nuksi za pesa mnaishia kukopa so!!!
 
Wewe mwana chadema usiku ,mchana ccm, hakuna uchaguzi mwaka huu asema Bwana jizime data ,kwanza rudisha kadi ya chama , chadema ya leo sio ya ndimi mbili kama nyoka, pumbavu.
Hii ni mara yangu katika mara kadhaaa nakwambia .

Unalo jambo moja tu kwa sasa , jitetenga na ccm rasmi , why humia ndani ya moyo wako wakati kule upo maslahi ,na sasa ccm imedhihilisha katika umma wa wa watz kwamba ni chama cha matajiri ,hakuna jembe na nyundo hapo mpaka pale.

Mfano nani mjomba wako maskinialifika mlimani city,achilia mbali ,Mama mzazi ,baba n.k , ccm sio chama cha jembe na nyundo tena ,kimekufa.

Leo anaeongwa baiskel ,pikipiki ni mpumbavu , alafu askari wa kwenye doria ya mamitandao anaona sifa kusema adharani mbele ya umma , laana sio kitu kizuri
relax bas gentleman,
na uandike kwa utulivu maana naona una malalamiko mengi kweli binafsi :pedroP:

muhimu sana,
usisahau uchaguzi mkuu ni oct.29,2025.
 
Mmeua watu na kusweka watu ndani na mabomu juu ili wazungu wazuie maokoto sasa mnapata nini mnatuletea janjaa kitaa na nuksi za pesa mnaishia kukopa so!!!
jikite kwenye hoja gentleman,
huana haja ya kumbwelambwela na porojo za drama za patapotea :NoGodNo:
 
Tukishinda kwa 100% halafu ndiyo tuanze tena kuachia watu kutoka magerezani kwa ahadi ya kuwapa ubunge viti maalum na kuwaapisha gereji ili angalau ionekane kuna wapinzani siyo?
hizo porojo ni useless gentleman :NoGodNo:
 
Kwamba zile kamati za hesabu za serikali wenyeviti wao mtawatolea wapi,ili mkatembeze bakuli kwa mabeberu.
kamati za bunge zitaundwa na wawakilishi wa wananchi bungeni gentleman:NoGodNo:
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
wanashindana na nani na lini walishindwa
 
Kwanini wasishinde sasa, mgombea Urais ndio anayeteua viongozi pale tume ya uchaguzi, anateua na wasimamizi wa uchaguzi kwa kutumia wakurugenzi wakuu wa wilaya na mikoa😃....kwanini asishinde viti vyote....hata sisi tutashangaa sana kama hatashinda viti vyote. Maana hata askari wote wapo chini yake Kila akiwaelekeza Cha kufanya wanatakiwa waitikie na kutekeleza agizo pasipo waa😀. Ukiacha tabia zao za asili za kuiba pasipo kutumia akili ya hesabu😋
 
Uchaguzi upi? Tarehe ipi? Ya nini? Uchaguzi haramu wa kishetani kati ya chauma ubwabwa chama mchepukaji wa ccm ni kituko sana, Ebu ccm muogopeni mungu tendeni haki itisha uchaguzi huru na haki acheni maigizo ya chaguzi magumashi
uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, ni tarehe 29,october2025.

uskose kutumia haki yako ya kikatiba ya kupiga kura :NoGodNo:
 
Kwanini wasishinde sasa, mgombea Urais ndio anayeteua viongozi pale tume ya uchaguzi, anateua na wasimamizi wa uchaguzi kwa kutumia wakurugenzi wakuu wa wilaya na mikoa😃....kwanini asishinde viti vyote....hata sisi tutashangaa sana kama hatashinda viti vyote. Maana hata askari wote wapo chini yake Kila akiwaelekeza Cha kufanya wanatakiwa waitikie na kutekeleza agizo pasipo waa😀. Ukiacha tabia zao za asili za kuiba pasipo kutumia akili ya hesabu😋
kumbuka,
uchaguzi mkuu huru, wa wazi na haki ni october29,2025.

waambie na wenzako:NoGodNo:
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Kwasasa mnaombewa kifo tuu maana mmejiungamanisha na shetani kuteka,kuua,kuiba na kuharibu...Kuna mafrii mason naninyi ma frii elekshen
Mkumbuke tuu Mwenyezi Mungu hadhihakiwi!!
 
Kwasasa mnaombewa kifo tuu maana mmejiungamanisha na shetani kuteka,kuua,kuiba na kuharibu...
Mkumbuke tuu Mwenyezi Mungu hadhihakiwi!!
gentleman,
peleka chuki na ramli zako kwa washirikina wenzako :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom