GE2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge nchi nzima uchaguzi mkuu wa 29 Octoba, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Unajitungia mtihani halafu unafanya na kufaulu mwenyewe,inachekesha sana
 
Mwanamke mchawi usimuache aishi that's biblical getoman
gentleman,
uganga wako ni nonsense kwa nyakati hizi za technolojia au unajidanganya kwamaba ramli pia ni technolojia?:NoGodNo:
 
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.

Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.

Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Inashindana na chama gani?
 
Samia anatakiwa kupanda kizimbani akatoe ushahidi, mwambie ajipange
 
Who cares anyway.
 
Back
Top Bottom