Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Sawa. Wewe tutashinda njaa October 25Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwamba zile kamati za hesabu za serikali wenyeviti wao mtawatolea wapi,ili mkatembeze bakuli kwa mabeberu.Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Tukishinda kwa 100% halafu ndiyo tuanze tena kuachia watu kutoka magerezani kwa ahadi ya kuwapa ubunge viti maalum na kuwaapisha gereji ili angalau ionekane kuna wapinzani siyo?Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mmeua watu na kusweka watu ndani na mabomu juu ili wazungu wazuie maokoto sasa mnapata nini mnatuletea janjaa kitaa na nuksi za pesa mnaishia kukopa so!!!Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
relax bas gentleman,Wewe mwana chadema usiku ,mchana ccm, hakuna uchaguzi mwaka huu asema Bwana jizime data ,kwanza rudisha kadi ya chama , chadema ya leo sio ya ndimi mbili kama nyoka, pumbavu.
Hii ni mara yangu katika mara kadhaaa nakwambia .
Unalo jambo moja tu kwa sasa , jitetenga na ccm rasmi , why humia ndani ya moyo wako wakati kule upo maslahi ,na sasa ccm imedhihilisha katika umma wa wa watz kwamba ni chama cha matajiri ,hakuna jembe na nyundo hapo mpaka pale.
Mfano nani mjomba wako maskinialifika mlimani city,achilia mbali ,Mama mzazi ,baba n.k , ccm sio chama cha jembe na nyundo tena ,kimekufa.
Leo anaeongwa baiskel ,pikipiki ni mpumbavu , alafu askari wa kwenye doria ya mamitandao anaona sifa kusema adharani mbele ya umma , laana sio kitu kizuri
jikite kwenye hoja gentleman,Mmeua watu na kusweka watu ndani na mabomu juu ili wazungu wazuie maokoto sasa mnapata nini mnatuletea janjaa kitaa na nuksi za pesa mnaishia kukopa so!!!
wanashindana na nani na lini walishindwaHili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
uchaguzi mkuu wa kihistoria kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, ni tarehe 29,october2025.Uchaguzi upi? Tarehe ipi? Ya nini? Uchaguzi haramu wa kishetani kati ya chauma ubwabwa chama mchepukaji wa ccm ni kituko sana, Ebu ccm muogopeni mungu tendeni haki itisha uchaguzi huru na haki acheni maigizo ya chaguzi magumashi
kumbuka,Kwanini wasishinde sasa, mgombea Urais ndio anayeteua viongozi pale tume ya uchaguzi, anateua na wasimamizi wa uchaguzi kwa kutumia wakurugenzi wakuu wa wilaya na mikoa😃....kwanini asishinde viti vyote....hata sisi tutashangaa sana kama hatashinda viti vyote. Maana hata askari wote wapo chini yake Kila akiwaelekeza Cha kufanya wanatakiwa waitikie na kutekeleza agizo pasipo waa😀. Ukiacha tabia zao za asili za kuiba pasipo kutumia akili ya hesabu😋
Wewe ndio uwaambie...mm hayo maneno Yako siyatambui😄kumbuka,
uchaguzi mkuu huru, wa wazi na haki ni october29,2025.
waambie na wenzako
Kwasasa mnaombewa kifo tuu maana mmejiungamanisha na shetani kuteka,kuua,kuiba na kuharibu...Kuna mafrii mason naninyi ma frii elekshenHili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mwanamke mchawi usimuache aishi that's biblical getomangentleman,
peleka chuki na ramli zako kwa washirikina wenzako