Uchaguzi 2020 CCM itumie vijana kunadi Ilani na Sera zake. Hawa akina Mwigullu, Nape, January na Kigwangala wakati "umeshawatupa mkono"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
 
Nafikiri vyama vyote viongozi wao wanaamini bado ni vijana, jana nimemsikiliza Nchemba akijipambanua kama kijana na vivyo hivyo CDM, NCCR, TLP, ACT etc

Ukweli kitengo cha vijana ktk vyama viachiwe kazi ya kueneza sera na propaganda kwa manufaa ya vyama.
 
Wazo zuri ila vijana nao tunatofautiana rika. Bado tutawahitaji vijana rika la kina Stamina na Kala kuwaelewesha vijana wa rika lao ila pia kina Kigwangala watahitajika kuwashawishi na kuwaelewesha vijana wa rika lao.
Kigwangalla anakaribia 50 siyo kijana tena ni " dingi"
 
Jana Mwigulu alikuwa anaongea pale Itigi wananchi wanamuangalia tu kama msukule.

Hana mvuto tena Mwigulu. Ananuka damu ya Lisu. Alibariki jaribio la kutaka kumuua ndugu yake Lisu.

(Ikumbukwe huyu ndiye alikuwa waziri wa Mqmbo ya ndani wakati Lisu anapigwa risasi).
 
Hilo la Lisu unamsingizia bwashee.

Mwigullu Nchemba ni miongoni mwa wanaccm wachache waliombeba Lisu kumuingiza ndani ya ndege.
 
Kigwangala, Mwigulu, Nape na Makamba Hawa ni wazee. Ujana mwisho miaka 36 lkn Hawa wanaitafuta 50. Kigwangala yeye yuko 53 amezeeka kabisaaa
Hahahaaaa...... Ni " watu wazima" siyo wazee bwashee!
 
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee naona unajipigia pass ndefu

Tatizo vijana wa Ccm ni wachache halafu wanaongea pumba na hawasikiliziki kwenye jamii
Mfano ni wewe mwenyewe ,Jane Lowassa
 
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
CCM inapumulia mashine , kinanasi anahutubia Matema lakini anawaambia wananchi ccm imejenga flyover Tazara !
 
Back
Top Bottom