Kinanasi huyu mbunge wa Kyela?
Mwakyembe anamuhujumu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinanasi huyu mbunge wa Kyela?
Kupoteana siyo rahisi kama unavyofikiria!
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.
Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.
Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Mungu ibariki CCM
Maendeleo hayana vyama!
CCM ni Chama chenye vision kubwa ndio maana kuna Chipukizi, UVCCM na Jumuia ya Wazazi.
Pongezi kwa Chadema kwa kuwa na vijana wabichi, mahiri na wenye mawazo ya kisasa kama Prof. Baregu, Askofu Dk. Bagonza na Dk. Lwaitama.CCM haina sera tena na imejaa wazee wasaka vyeo.
Niwashauri tu wamtumie sipriani musiba watapata kura za kimbunga.....
Mtuana Mwaka huu huko Lumumba, tayari Meko anaona kila Mtu adui, hadi BashiruWapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.
Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.
Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Mungu ibariki CCM
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa..... Hili tetezi la rais ni hamnazo kabisa km polepole. Hapo lilimlenga nani sasa??Musiba kisha wachafua kuwa kamati kuu ya JIWE imeteua wauza madawa ya kulevya kugombea uBunge!!!