Uchaguzi 2020 CCM itumie vijana kunadi Ilani na Sera zake. Hawa akina Mwigullu, Nape, January na Kigwangala wakati "umeshawatupa mkono"

Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
Hao uliowataja sio kwamba wakati umewatupa ni kwamba wamewekwa pembeni na wenye chama chao.
Hujui kwamba chama kina wenyewe?!
Na wao wameona wakae pembeni kwa Style ya kususa
 
Hakuna aliyewekwa pembeni bwashee!
 
CCM ni Chama chenye vision kubwa ndio maana kuna Chipukizi, UVCCM na Jumuia ya Wazazi.
 
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee shikamoo, Mwigula wa sasa mweupee haijawahi kutokea
 
Niseme kidogo kwamba ilani ya chama haijaacha kitu swala la ajira limezungumzwa katika kipindi cha miaka 5 umetekeleza ajira mil.12.6 Rasmi na zisizo rasmi hizi ni kutokana na miradi mbalimbali iliyofanyika na inayoendelea .
 
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
Kwani CCM kuna vijana wenye akili?
 
Hawa vijana wanajua kukata mapanga, kuamuru polisi, kuchoma benders kuteka ndio manana wamepumzishwa kwakuwa dunia inawatazama na wananchi weapon huru japo si sana
 
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi.

Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi siasa za kizazi kipya sana sana wataendekeza visasi tu badala ya kukiandaa chama kwa uchaguzi wa 2025 Rais Magufuli atakapomaliza muhula wake wa pili.

Hata majukwaani nimeona vijana Kalla na Stamina wanaielezea vizuri ilani ya CCM kuliko baadhi ya wakongwe ambao hawana mbinu za amsha amsha zaidi ya kuongea kibondia.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
UVCCM wapo!
 
Nape na January ndio kabisa kwanza walishaitelekeza na mateso waliyopewa walipotekwa na kulazimisha waombe msamaha hadharani , ila Jiwe noma yaani watu wakapigwa mapakatinga , mapampu ili waombe msamaha hadharani kwa lazima .
 
Hao vijana unaowafikiria ni wachumia tumbo tu na kila kijana mwenye matakwa mema na nchi hii anajua hilo na tunawapuuza tu.
 
CCM haina sera tena na imejaa wazee wasaka vyeo.

Hawa MATAGA siku zote hirizi yao ilikuwa wale wakina Kingunge sasa hawapo na waliobaki wamewatukana kuwa waache KUWASHWA WASHWA; sasa ndio laana imewaingia hawajui mbele wala nyuma iliyobaki kutegemea kuiba kura kwa msaada wa polisi!!
 
Back
Top Bottom