Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uuone utamu wa CCM 🐼Hahaaa, yaani kanali amtoe, halafu amrithi? Makonda is a reject, mfumo unamtema
Anarudi pale pale kwa Afisa mwenzake Nchimbi 😂😂To be safe, atakimbilia ubunge huko Misungwi, nako atakutana na kigingi cha Mnyeti
Utajua Hujui 🐼Nchimbi hawezi kufanya kazi na wahuni
Kwani mwenezi ni mtunza fedha za chama ?😂😂😂Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
Shida sio kura za nje,,,kwa sasa shida ni nguvu ndani ya chamaAnarudi pale pale kwa Afisa mwenzake Nchimbi 😂😂
Kanda ya Ziwa inatoa 30% ya kura za CCM
Siasa ni sayansi
Alipo Aziz unataka nguvu gani tena?Shida sio kura za nje,,,kwa sasa shida ni nguvu ndani ya chama
Kiiiii..........kikubwa lazima msoga wajambishwe kwanza......hata kama tayari mambo meupeAlipo Aziz unataka nguvu gani tena?