CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
ushauri wako umepokelewa japo sio kwa umuhimu. Maoni yako yameskizwa
 
Kaondoka jiwe Magufuli katuacha na huyo alikuwa rais, huyu takataka atatutisha kwa kipi!?
Kawaacha wapi wakati anachezesha kete huko kwa sir god kamati ya kuwapokea wale wahanga wa maturubai,,,,,,yani upepo kwa sasa upo as above so below, chini KONDA boy juu kiongozi wa malaika.......rudieni tena yale ya Lindi,,,password bye bye
 
Endelea kuota ukiamka utakutana na uhalisia.
 
Sasa mwenezi wa chama anahusika vipi na pesa ndani ya chama? Unafahamu utaratibu wa kutoa pesa ndani ya chama? Unafahamu anayehusika na taratibu zake? Acha kuchafua viongozi wetu hata kama una chuki binafsi basi jaribu kutumia hata akili kidogo unapotaka kuzusha uongo kama huu ulioleta hapa jukwaani.
🚮🚮
 
Back
Top Bottom