CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
 
Makonda amemaliza awamu ya Kwanza anapumzika kidogo Arusha 2025 anarudi kufunga Kazi akirithi mikoba ya Kanali mstaafu

CCM ni chama kikubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Makonda amemaliza awamu ya Kwanza anapumzika kidogo Arusha 2025 anarudi kufunga Kazi akirithi mikoba ya Kanali mstaafu

CCM ni chama kikubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
Hahaaa, yaani kanali amtoe, halafu amrithi? Makonda is a reject, mfumo unamtema
 
To be safe, atakimbilia ubunge huko Misungwi, nako atakutana na kigingi cha Mnyeti
Anarudi pale pale kwa Afisa mwenzake Nchimbi πŸ˜‚πŸ˜‚

Kanda ya Ziwa inatoa 30% ya kura za CCM

Siasa ni sayansi
 
Sasa mwenezi wa chama anahusika vipi na pesa ndani ya chama? Unafahamu utaratibu wa kutoa pesa ndani ya chama? Unafahamu anayehusika na taratibu zake? Acha kuchafua viongozi wetu hata kama una chuki binafsi basi jaribu kutumia hata akili kidogo unapotaka kuzusha uongo kama huu ulioleta hapa jukwaani.
 
Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
Kwani mwenezi ni mtunza fedha za chama ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aguswe Kama Alivyowagusa Wengine Tu Ijulikane Wazi
 
Kuna mmbo na nyie watanzania huwa mnacomment tu. Huu ni ufala ulioandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…