CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
ushauri wako umepokelewa japo sio kwa umuhimu. Maoni yako yameskizwa
 
Anarudi pale pale kwa Afisa mwenzake Nchimbi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kanda ya Ziwa inatoa 30% ya kura za CCM

Siasa ni sayansi
30% ipi, ingekuwa inatoa kiasi hicho dhalimu magu asingepora mchakato wa uchaguzi.
 
Kaondoka jiwe Magufuli katuacha na huyo alikuwa rais, huyu takataka atatutisha kwa kipi!?
Kawaacha wapi wakati anachezesha kete huko kwa sir god kamati ya kuwapokea wale wahanga wa maturubai,,,,,,yani upepo kwa sasa upo as above so below, chini KONDA boy juu kiongozi wa malaika.......rudieni tena yale ya Lindi,,,password bye bye
 
Endelea kuota ukiamka utakutana na uhalisia.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ