akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Katiba mpya ni muhimu sana kwa taifa letu, tunaweza kupata Rais INCOMPITENT halafu kwa kuwa katiba tayari inampa nguvu kubwa (u Mungu mtu), kila jambo la nchi litafanywa kwa utashi wake...na akijisikia fulani anamkosoa anamshughulikia...mifano TUMEIONA awamu ya 6!.Katiba mpya haiwezi kutuletea jipya zaidi ya kuingiza interests za wanasiasa.
Katiba mpya haijaleta jipya Kenya.
Marekani ana katiba ya miaka zaidi ya 200 huko