milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
- Thread starter
-
- #21
Weka picha tuone unachoongea tulinganishe ukweli wako na uongo wangu.Unajua jamii forum unashuka hadhi kwaajiri ya wajinga kama wewe,yaani hamjaona mradi ulivyo umemalizika vip? Ninyi kazi yenu nikuponda ,Mimi nipo karibu na gate,gatini Kuna umeme wa kutosha ,Kuna maji ya kutosha,Kuna CCTV camera ip camera 8mega pixel,Kuna mitaro mikubwa kabisa ya maji na mapedressiwa vizur sana na kesho nitawatumia picha ya hilo gate
Weka picha! Kazi mliyonayo ni kumtuma Rais wetu kufungua miradi ambayo haijakamilika,akishafungua hamkamikishi Tena.Unajua jamii forum unashuka hadhi kwaajiri ya wajinga kama wewe,yaani hamjaona mradi ulivyo umemalizika vip? Ninyi kazi yenu nikuponda ,Mimi nipo karibu na gate,gatini Kuna umeme wa kutosha ,Kuna maji ya kutosha,Kuna CCTV camera ip camera 8mega pixel,Kuna mitaro mikubwa kabisa ya maji na mapedressiwa vizur sana na kesho nitawatumia picha ya hilo gate
Miradi yote inayotekelezwa na serikali ndani ya Mkoa ,ni kazi ya kamati ya siasa ya mkoa kukagua miradi hiyo,na mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati hiyo.kwan jukumu la ukaguzi wa kiradi ni jukumu la kamati ya siasa ya mkoa?
Sasa mawaziri wenye dhamana husika watafanya nini?
Igp anafanya nini kama kamati ya siasa ndo itafanya hayooo. Anyway hebu tupe somo mleta mada inawezekana kunachakujifunza hapa
Anyway inawezekana mimi ndo sijui?
Kama ndivyo wanawajibu wa kukumbushwa wajibu wao kama chamaMiradi yote inayotekelezwa na serikali ndani ya Mkoa ,ni kazi ya kamati ya siasa ya mkoa kukagua miradi hiyo,na mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati hiyo.
Sasa ninashangaa,mkuu wa mkoa hajui Wala hajakagua mradi huo,Rais anakuja kuufungua na eneo sio rafiki kimazingira vumbi kibso, mitaro ya maji ya mvua hakuna, hakuna maji safi na salama, mawe , uchafu,hakuna ukokwa, ni aibu tupu
Soma katiba ya JMT utaelewa Serikali imeundwa/inamilikiwa na Chama Gani...na Irani inayotekelezwa kwa sasa ni ya Chama Gani...pia tafuta maana halisi ya slogan ya KIDUMU CHAMA TAWALAKwanza, mwenyekiti wa mtaa anatosha kufungua hilo geti.
Pili, Kwanini CCM kwani polisi ni ya CCM?
Hata kama ndio kumtoa raisi huko aliko aje kugungua geti 😀😀Soma katiba ya JMT utaelewa Serikali imeundwa/inamilikiwa na Chama Gani...na Irani inayotekelezwa kwa sasa ni ya Chama Gani...pia tafuta maana halisi ya slogan ya KIDUMU CHAMA TAWALA
Nimeshangaa Sana Mageti KweliRais anaenda kuzindua mageti?
Sasa Hilo ni jambo la nini ni kipaumbele chao...namna wanavyopanga ratiba zao na kutumia muda wao, ni vigumu kwa watu Baki kama mimi kutambua.Hata kama ndio kumtoa raisi huko aliko aje kugungua geti 😀😀
Angalia TBC Tarehe 17.9.2024, utaelewa tulikofikia na tunakoelekeaYaani Rais akazindue heti?!
Ndio. Ni policcm hawajitambui kwamba wanawajibika kwa umma. Wanajiona kama ni watumishi wa ccm. Kazi yao wanayofanya kwa ufanisi ni ku- terrorize upinzani.Pili, Kwanini CCM kwani polisi ni ya CCM?
Yaani Rais akazindue heti?!