CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

Kwani kamati hiyo ndio inatoa ithibatii
Wee Jeshi linautaratibu wake!
Hivyo acha kuropokaaa

Jeshi linautaratibu ushawai kusikia mkuu wa wilaya ameenda kwenye kambi yoyote
 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Hassan Babu akiwa na Kamati ya Siasa ya Mkoa leo septemba 23,2024 wamefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi kupitia miradi ya Maendeleo wamekagua ujenzi wa barabara ya bomang'ombe - Sanya juu yenye urefu wa kilomita 25 iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Siha na kuwataka wananchi kutunza miundombinu hiyo kwa ajili ya manufaa jamii nzima.

View: https://www.instagram.com/p/DARKobwtCVi/?igsh=ODFud25uMDB0bXdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…