CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika. Usafi wa mazingira haupo katika kiwango kinachotakiwa, mitaro ya maji ya mvua bado haijajengwa, na kuna vumbi kubwa sana.

Aidha, ukuta wa mradi haujakamilika, na eneo hilo
halina huduma za maji wala umeme. Kuweka wazi, mradi unafunguliwa kwa kigezo gani ikiwa mazingira ni mabaya kiasi hiki?

Pia, thamani ya mradi kulingana na fedha zilizotumika haionekani kuwa sawa. Mandhari na mazingira ya eneo hili ni aibu kabisa.

Soma pia: IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

Ni muhimu kutafakari hatua hizi kwa sababu kuna hatari ya kumjaribu Mheshimiwa Rais badala ya kumheshimu. Hali hii inaweza kupelekea aibu kubwa kwa chama na serikali.

Ni vyema kuchukua hatua za haraka ili kuhakikisha mradi huu unafikia viwango vinavyotakiwa kabla ya ufunguzi rasmi.
 
Attachments

  • IMG_20240914_095156_422.jpg
    IMG_20240914_095156_422.jpg
    3.7 MB · Views: 8
  • IMG_20240914_095149_031.jpg
    IMG_20240914_095149_031.jpg
    4.3 MB · Views: 4
Akukute mafwele 😅.
Ila kujipimia si waliruhusiwa bro, did u think anything going to happen after all these?
 
Kama IGP ana busara, atembeleee eneo Hilo, kabla ujio wa Rais kufika kuzindua mradi huo.
Eneo Hilo ,ni chafu, vumbi Kila Kona, mawe, hakuna mitaro ya maji ya mvua,hakuna maji ya kutunza mazingira,
 
Kwanza, mwenyekiti wa mtaa anatosha kufungua hilo geti.

Pili, Kwanini CCM kwani polisi ni ya CCM?
 
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika. Usafi wa mazingira haupo katika kiwango kinachotakiwa, mitaro ya maji ya mvua bado haijajengwa, na kuna vumbi kubwa sana.

Aidha, ukuta wa mradi haujakamilika, na eneo hilo
halina huduma za maji wala umeme. Kuweka wazi, mradi unafunguliwa kwa kigezo gani ikiwa mazingira ni mabaya kiasi hiki?

Pia, thamani ya mradi kulingana na fedha zilizotumika haionekani kuwa sawa. Mandhari na mazingira ya eneo hili ni aibu kabisa.

Soma pia: IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

Ni muhimu kutafakari hatua hizi kwa sababu kuna hatari ya kumjaribu Mheshimiwa Rais badala ya kumheshimu. Hali hii inaweza kupelekea aibu kubwa kwa chama na serikali.

Ni vyema kuchukua hatua za haraka ili kuhakikisha mradi huu unafikia viwango vinavyotakiwa kabla ya ufunguzi rasmi.
Hakuna mkuu wa wilaya hapo Moshi akafungue hilo geti rais aendelee na mambo ya msingi zaidi?
 
Chama dola kongwe kimeshika hatamu za uongozi ndani ya jeshi Polisi
 
Kipimo cha mwisho kumpima Rais Samia kuwa 2025 apigiwe kura au la!, ni yeye kufungua mradi huu,uliopo barabarani Kila mtu anauona ,bila kufanyiwa , usafi,kumwagiwa maji,kufungwa maji safi na salama, kuwekwa choo, kuoteshwa ukoka,kutengeneza mitaro ya maji ya mvua,kuzoa mawe yaliyosambaa hovyo,kumalizia ukuta, kuweka camera za ulinzi, kuweka heti za remotely control, kuweka generator ya stand bay,
 
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika. Usafi wa mazingira haupo katika kiwango kinachotakiwa, mitaro ya maji ya mvua bado haijajengwa, na kuna vumbi kubwa sana.

Aidha, ukuta wa mradi haujakamilika, na eneo hilo
halina huduma za maji wala umeme. Kuweka wazi, mradi unafunguliwa kwa kigezo gani ikiwa mazingira ni mabaya kiasi hiki?

Pia, thamani ya mradi kulingana na fedha zilizotumika haionekani kuwa sawa. Mandhari na mazingira ya eneo hili ni aibu kabisa.

Soma pia: IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

Ni muhimu kutafakari hatua hizi kwa sababu kuna hatari ya kumjaribu Mheshimiwa Rais badala ya kumheshimu. Hali hii inaweza kupelekea aibu kubwa kwa chama na serikali.

Ni vyema kuchukua hatua za haraka ili kuhakikisha mradi huu unafikia viwango vinavyotakiwa kabla ya ufunguzi rasmi.
Wewe hapo chuoni umeenda kujifunza kama polisi ama kada?
 
Unajua jamii forum unashuka hadhi kwaajiri ya wajinga kama wewe,yaani hamjaona mradi ulivyo umemalizika vip? Ninyi kazi yenu nikuponda ,Mimi nipo karibu na gate,gatini Kuna umeme wa kutosha ,Kuna maji ya kutosha,Kuna CCTV camera ip camera 8mega pixel,Kuna mitaro mikubwa kabisa ya maji na mapedressiwa vizur sana na kesho nitawatumia picha ya hilo gate
 
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika. Usafi wa mazingira haupo katika kiwango kinachotakiwa, mitaro ya maji ya mvua bado haijajengwa, na kuna vumbi kubwa sana.
Kwahiyo kazi inafanywa kwaajili ya Rais na siyo usalama wa chuo
 
Hiki ndiyo chuo kilichomfundisha muuaji wa watu mafwele?Hiki chuo kifungwe Kwa maslahi ya umma
 
Back
Top Bottom